"Mwanamke afanyiwe nini ili awe na utulivu, utii na upendo wa dhati kwa mwanaume wake?" Jibu limepatikana

"Mwanamke afanyiwe nini ili awe na utulivu, utii na upendo wa dhati kwa mwanaume wake?" Jibu limepatikana

Hivi mwanamke akipewa yote hayo hadi kukatwa kucha yeye kwa upande wake anatoa nini na nini na nini na nini?

Manake ukipokea na wewe unatakiwa kutoa ili iwe perfect combo
Eti yeye anatoa mbususu tuu??
Is it health kweli?? Ndugai voice
Ila wanawake baadhi ni wabinafsi sanaaaa aise
 
Kama hayo aliyoyaongea anaweka kwenye utekelezaji ana nafasi ya kumkaribia mfalme Selemani
Hawezi kumkaribia kidume Seleman aliyendua wanawake 30 kwa siku, huyu Mwaka hajatupa aendelee kugongewa na wake zake na wajuba wa Buza hana jeuri kama ya Seleman
 
Wanaume wengi wanavitu vyote hivyo sikuiz hapo kwenye mapenzi ndio wanatofautiana wengine vibamia sana
 
Huu ni ukweli bila chenga kwamba mwanamke anataka VYOOOOTE
MAPENZI, CARE, ATTENTION, SIM NZURI, GARI ZURI, MUDA WAKO, KUBEMBELEZWA......

View attachment 2094496



Mwaka anayaweza kwelikweli
Mwanamke tangu anaumbwa mpaka siku ya mwisho anahitaji vitu vitatu tu. Sivitaji.

Hujawahi kuona mwanamke anaishi katika kasri na hana furaha na anaweza kuondoka katika kasri hilo na wala asijute ?

Sasa msiwafanye watu wajinga wakawaongoza,hizi zama ndiyo zile zama ambazo wajinga huaminiwa na kufatwa.
 
Mwanamke tangu anaumbwa mpaka siku ya mwisho anahitaji vitu vitatu tu. Sivitaji.

Hujawahi kuona mwanamke anaishi katika kasri na hana furaha na anaweza kuondoka katika kasri hilo na wala asijute ?

Sasa msiwafanye watu wajinga wakawaongoza,hizi zama ndiyo zile zama ambazo wajinga huaminiwa na kufatwa.
Vitaje mkuu, unawezakuta ukawasaidia watu apa.
 
Vitaje mkuu, unawezakuta ukawasaidia watu apa.
Ni rahisi na viko wazi mno kama unawajua wanawake vizuri.

Humu wengi wana macho lakini hawaoni kwayo,wanaangalia upande mmoja tu.

Mwanamke anahitaji vitu hivi tu :

1. Upendo yaani mapenzi.

2. Matunzo na

3. Kuheshimiwa yaani usimnyanyase na mfano wa hayo,mwanamke hata umpende vipi bali hata umtunze vipi kama una mnyanyasa hawezi kuvumilia manyanyaso.

Hapo juu kwenye hiyo video kuna ujinga umetajwa wakati ni vitu vya ziada tu na wala si vya msingi.

Shukrani.
 
Mwanamke ili atulie unatakiwa ujali

1.Tumbo lake (uhakikishe anashiba).
2.Mwili wake (sehemu yake ya siri iridhike na wewe aka umfikishe kileleni).
3.Umsitiri ( mavazi + sehemu ya kukaa)

Mengine yooooote ni ziada ila nasisitiza sana hapo kwenye point namba moja na mbili...mwanamke hajui kuvumilia njaa ,ukicheza na tumbo lake tu ni lazima akusaliti, na ikiwa utamshibisha ila humfikishi kileleni ni wazi kuwa lazima atakusaliti...maana kumfikisha kileleni ndio kutamfanya ajenge mapenzi na wewe.

Wasalaam
 
Mwanamke ili atulie unatakiwa ujali

1.Tumbo lake (uhakikishe anashiba).
2.Mwili wake (sehemu yake ya siri iridhike na wewe aka umfikishe kileleni).
3.Umsitiri ( mavazi + sehemu ya kukaa)

Mengine yooooote ni ziada ila nasisitiza sana hapo kwenye point namba moja na mbili...mwanamke hajui kuvumilia njaa ,ukicheza na tumbo lake tu ni lazima akusaliti, na ikiwa utamshibisha ila humfikishi kileleni ni wazi kuwa lazima atakusaliti...maana kumfikisha kileleni ndio kutamfanya ajenge mapenzi na wewe.

Wasalaam

Tushaona ndoa ngapi wanafanyiwa hivyo vyote na bado wanasaliti na hatimae ndoa kuvunjika. Na bado huwa hawajuti kwani mkisha achana akienda kwa huyo aliyekuwa anakusaliti nae bado atachepuka tena!! Ni kumuomba Mungu tu
 
Wanaume siku hz tumesahau kuwa mwanamke anapaswa kuwa sehemu ya maisha yako sio mwanamke awe maisha yako. Wanawake wapo kutupa upendo nas tupo kuonesha upendo. Mwanamke anatak uzungumze naye kihisia. Tafta mwanamke aliye kweny ligi yako. Hwez lala na kila mwanamke utayemtamani maana hulka ya mwanaume ni kutaman. Wengne angalia tu useme Mola ameumba na upite kushoto. Ukitaka lazmisha uonekane naww n kijeba ndo haya unakuja lalamika wanawake wanatak pesa bla bla bla!

Kumbuka mwanamke yupo kutoa upendo. Wew muonehe upendo. Ukishampata ambaye yupo kweny ligi yako mfanyie vitu vidogo tu hasa ukicheza na hisia zake.Mfano muulize suruali anavaa size ngap. Hili swali litamfany awaze surprise atakuuliz why umeuliza...jibu utalompa tayar limeshamuwek akuwaze!Uo n mfano tu.

Muhimu jiendeleze mwenyewe. Tafta kitu unachopenda na kinakuingizia pesa. Kifanye kwa bidii. Women reward efforts. Wanawake hulipa juhudi uwe unapata au hupati as long as anakuona unapambana!

Mwisho niseme: Tusiwalaumu wanawake kupend pesa maana tumekubali wenyew watusaidie kazi siku izi. Wako madukani wako sokoni wapo had kwny vituo vya mabasi!Na wanachapa kazi haswaa!Usku mkirud ustegemee kupewa kama wazee wetu waliofany kazi mke akabaki home kuandaa [emoji192].

Tusishangae ndoa kuvunjika kisa vitu hazigongani na wakati mnarud wote mnawaza pesa hakuna wa kumtuliza mwenzie.

Tusishangae why wanawake wameacha kujitunz sku izi na kupendeza kama mapambo ya dunia. Wameacha kusuka miaka mmoja tu kwny ndoa coz hakuoni ukimtaman tena sasa ampendezee nan
 
Hua mnasahau kama mwanaume naye ni mwanadamu ana mapungufu yake so hawezi kukutimizia vyote hivyo mnavyotaka

Wote mwanamke na mwanaume ni wanadamu, kwa uwezo wa Mungu wataweza
 
Je, mwanamke anataka kufanyiwa yote hayo yeye, mme wake naye atamfanyia hivyo hivyo anavyotaka yeye kufanyiwa?? Au hapa ndio tunapata ile maana ya ubinafsi kwenye mahusiano.
Ndio na yeye atamtii na kumheshimu mume wake.
 
Mwanamke akikupenda, yote hayo comes naturally.

Na ndo maana unawaona watu wa kawaida tu na wana wake visu sana na watulivu kwenye ndoa zao.

Mtaimba sana na kuumiza kichwa lakini a woman in love is something else.
 
Back
Top Bottom