"Mwanamke afanyiwe nini ili awe na utulivu, utii na upendo wa dhati kwa mwanaume wake?" Jibu limepatikana

"Mwanamke afanyiwe nini ili awe na utulivu, utii na upendo wa dhati kwa mwanaume wake?" Jibu limepatikana

Hivi mwanamke akipewa yote hayo hadi kukatwa kucha yeye kwa upande wake anatoa nini na nini na nini na nini?

Manake ukipokea na wewe unatakiwa kutoa ili iwe perfect combo

Cousin hili swali wakikujibu naomba unitag tafadhali..
 
Huo muda nani anao wakufanya upuuzi wote huo. Wanawake japo ni mama zetu, mabinti zetu na dada zetu ila kwa aailimia nyiiiingi mna ushetani ndani yenu.

Ref kisa cha Adam, Ayub, Samson, na hata Lutu....ushetani mtupu.
Shetani akishindwa kufanya kazi yeye mwenyewe huwa anamtumia mwanamke
 
Mwanamke ana masikio matatu mwanaume jitahidi kumpa mwanamke maneno mazuri katika masikio yake mawili na zaidi anahitaji kuzibuliwa katika sikio la tatu mzibue kisawasawa utakuja nishukuru baadae
 
Huu ni ukweli bila chenga kwamba mwanamke anataka VYOOOOTE

MAPENZI, CARE, ATTENTION, SIM NZURI, GARI ZURI, MUDA WAKO, KUBEMBELEZWA......

Mwaka anayaweza kwelikweli
Kwani Kuna ulazima wowote wa kuwa na nyie ....maana watoto tunapata bila ukaribu huo ....Kama mbunye tunazipata bila wasi .....kwa Nini nihangaike kufuga ngombe wa kisasa waki mazima nakunywa kwa wakati ninao taka na Aina ninayo taka
 
Wanaume siku hz tumesahau kuwa mwanamke anapaswa kuwa sehemu ya maisha yako sio mwanamke awe maisha yako. Wanawake wapo kutupa upendo nas tupo kuonesha upendo. Mwanamke anatak uzungumze naye kihisia. Tafta mwanamke aliye kweny ligi yako. Hwez lala na kila mwanamke utayemtamani maana hulka ya mwanaume ni kutaman. Wengne angalia tu useme Mola ameumba na upite kushoto. Ukitaka lazmisha uonekane naww n kijeba ndo haya unakuja lalamika wanawake wanatak pesa bla bla bla!
Nikisha onaga hizi hapari za jinsi ya kumfanyia mwanamke huwa akili inagoma kabisa kusoma hata nikilazimisha kusoma sitaelewa [emoji38][emoji38]
 
Kwani Kuna ulazima wowote wa kuwa na nyie ....maana watoto tunapata bila ukaribu huo ....Kama mbunye tunazipata bila wasi .....kwa Nini nihangaike kufuga ngombe wa kisasa waki mazima nakunywa kwa wakati ninao taka na Aina ninayo taka
Kwa hiyo hao ng'ombe unao kunywa maziwa nan anawafuga na kuwajulia??
Au unaenda kukamua mwenyewe huko porin??

Kwa nn usifuge wako hadi ukanunue maziwa kwa wafugaji??

Ukitomba watoto wa watu na wako watakuja kutombwa hivo hivo
 
Huo muda nani anao wakufanya upuuzi wote huo. Wanawake japo ni mama zetu, mabinti zetu na dada zetu ila kwa aailimia nyiiiingi mna ushetani ndani yenu.

Ref kisa cha Adam, Ayub, Samson, na hata Lutu....ushetani mtupu.
Mkuu wewe asili yako ni Musoma kwenye mfumo dume
 
Mkuu wewe asili yako ni Musoma kwenye mfumo dume
Mfumo dume kivipi? Nani alimdanganya babu yetu Adamu mpaka akala tunda pale bustanini eden?
Nani alimkazia uzi Uncle yetu Samson kwa vitisho kwamba asiposema asili ya nguvu zake papuchi hatapata na vitisho kibao mpaka mjomba akatoboa siri na mwisho kumchomesha kwa wafilisti ni nani huyo?

Nani alikuwa akimtaka Ayubu amkufuru Mungu ili akafe kama sio ujasiri na uelewa wa Ayub kutambua vielement vya ushetani alivyokuwa navyo bi mkubwa?
Ukurya unakujaje hapo?

Au niendelee kuorodhesha ushetani wenu?
 
Kwa hiyo hao ng'ombe unao kunywa maziwa nan anawafuga na kuwajulia??
Au unaenda kukamua mwenyewe huko porin??

Kwa nn usifuge wako hadi ukanunue maziwa kwa wafugaji??

Ukitomba watoto wa watu na wako watakuja kutombwa hivo hivo
Tatizo ni huo muda wa kuanza kuhangaika nao kuwakatia majani,kuamka asubuhi na ma mapema kusafisha zizi Lao na Mara nyingine upigwe mateke .... Awee purukushani zote hizo za nini.....,? Hizo purukushani zinawafaa nyie mliokuja kuteseka iliwenzenu wale maisha .....hatufugi mbwa asie winda.
 
mwanamke ana masikio matatu
mwanaume jitahidi kumpa mwanamke maneno mazuri katika masikio yake mawili
na zaidi anahitaji kuzibuliwa katika sikio la tatu
mzibue kisawasawa utakuja nishukuru baadae
Hili unalizungumzia kwa wanawake wa toleo gani?

Maana ujuwe hawa viumbe wapo kama series za magari inategemea na toleo gani.
 
Mfumo dume kivipi? Nani alimdanganya babu yetu Adamu mpaka akala tunda pale bustanini eden?
Nani alimkazia uzi Uncle yetu Samson kwa vitisho kwamba asiposema asili ya nguvu zake papuchi hatapata na vitisho kibao mpaka mjomba akatoboa siri na mwisho kumchomesha kwa wafilisti ni nani huyo?

Nani alikuwa akimtaka Ayubu amkufuru Mungu ili akafe kama sio ujasiri na uelewa wa Ayub kutambua vielement vya ushetani alivyokuwa navyo bi mkubwa?
Ukurya unakujaje hapo?

Au niendelee kuorodhesha ushetani wenu?

Muishi nao kwa akili. Tena akili za rohoni na za mwilini

Ayubu aliishi nae kwa akili na alishinda
 
Mwaka Ni Master...kamaliza yote hatupendi Mambo magumu,mume Kama polisi ndio nini Sasa😉😉
 
Onyo: Mwanaume usifuate ushauri wa kimahusiano atakao kushauri mwanamke, hasa kwenye hili la kukuambia vitu vya kufanya ili mwanamke adumu na wewe.

Watakupoteza.
 
Back
Top Bottom