BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
hahahaMate yamejaa mdomoni ghafla[emoji23][emoji23][emoji23]
yamezeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaMate yamejaa mdomoni ghafla[emoji23][emoji23][emoji23]
halafu anaharibu connection zako zooooote mjini hapaTatizo ndio liko Hapo. Mtu kakukuta na lifestyle yako budget ya nywele ya 100k, lotion ya 40k, lipstick na wanja ya 20k, airtimebundle 60k......
Akishakuchukua anataka upake mafuta ya korie kichwani hadi mguun na nywele unyoe...ati short hair ndio nzuri[emoji2][emoji2]
Ukidanganyika ukabadili tabia umekwishaaaa
Connection za kujipendekeza kwa wenye pesa ...ak.a Udangaji .....halafu anaharibu connection zako zooooote mjini hapa
unabaki huna mbele nyuma wala upande!!!!
Ila tuaidanganyane jamani mwanamke akiwa na short hair mzuri yaani nakimbuka mimi mara ya kwanza kumuona klyn alikuwa na short hair nikabaki najisemea tuu damn shis beautiful.Tatizo ndio liko Hapo. Mtu kakukuta na lifestyle yako budget ya nywele ya 100k, lotion ya 40k, lipstick na wanja ya 20k, airtimebundle 60k......
Akishakuchukua anataka upake mafuta ya korie kichwani hadi mguun na nywele unyoe...ati short hair ndio nzuri😃😃
Ukidanganyika ukabadili tabia umekwishaaaa
Ila tuaidanganyane jamani mwanamke akiwa na short hair mzuri yaani nakimbuka mimi mara ya kwanza kumuona klyn alikuwa na short hair nikabaki najisemea tuu damn shis beautiful.
Ukiona demu ana mawigi wee kaa ukijua ana chogo huyoo
True. msuko wa laki moja unaweza kumudu wakati upo single sasa y mkiolewa ghafla hamuwezi tena mie hapo ndio mnaponkchanganya na unakuta kidume anamudu mambo mambo yote ya msingi ndani ya nyumbaKweli zinapendeza lakini sio kwa kila mtu, na hata hizo fupi zinahitaji matunzo pia. Sio mtunyoe kama wanafunzi wa primary wakati mlitupenda ndani ya msuko wa nywele wa lakimoja😃
True. msuko wa laki moja unaweza kumudu wakati upo single sasa y mkiolewa ghafla hamuwezi tena mie hapo ndio mnaponkchanganya na unakuta kidume anamudu mambo mambo yote ya msingi ndani ya nyumba
Sasa kwa nini uchake wakati una kazi yako yaani wewe just kutumia mshahara wako kujiremba ili hubby atambe na my wife kitaa nayo shida wakati analipa ada analisha familia anawatoa outing. Kusuka nayo mpaka usubiri mume kweli? Huu sasa ni ubinafsi uliopitilizaMtu yupo kwao kwa wazazi na ndugu zake, anafanya kazi zake na miradi ya familia kusuka nywele hiyo sio kazi kubwa. Sasa ghafla amefika kwako anachakaa kuanzia ngozi hadi nywele😳😳
Mimi huo ujinga sina, utaratibu wangu ni mfumo.dume yaani ukauzu full stop,hizo mambo za kwenye movies Sina na sifanyagi.Huu ni ukweli bila chenga kwamba mwanamke anataka VYOOOOTE
MAPENZI, CARE, ATTENTION, SIM NZURI, GARI ZURI, MUDA WAKO, KUBEMBELEZWA......
Mwaka anayaweza kwelikweli
Upuuzi mtupu,huo ni utumwa hakuna cha kufurahia hapo.Wakati wewe unapoendelea kuuita upuuzi na kuumia wenzio wanafanya hivyo na kufurahia mahusiano
Jikaze kiume
Mkivipata vichukueni tuu.Tunataka VYOTEEE
Binafsi kwenye hayo uliyotaja,itategemeana na mhusika mwenyewe kama ana recycle the same things, maana hata matunzo kuna yanayomhusu..Ni rahisi na viko wazi mno kama unawajua wanawake vizuri.
Humu wengi wana macho lakini hawaoni kwayo,wanaangalia upande mmoja tu.
Mwanamke anahitaji vitu hivi tu :
1. Upendo yaani mapenzi.
2. Matunzo na
3. Kuheshimiwa yaani usimnyanyase na mfano wa hayo,mwanamke hata umpende vipi bali hata umtunze vipi kama una mnyanyasa hawezi kuvumilia manyanyaso.
Hapo juu kwenye hiyo video kuna ujinga umetajwa wakati ni vitu vya ziada tu na wala si vya msingi.
Shukrani.
Haya mambo ya kinafiki ndio siyataki na nakuwa na tahadhari Sana navyoishi na mtu..Wanaume wengi wakiwa vibaya kiuchumi hohehahe Wana upendo wa HATARI!
Utapendwa wewe hadi unaweza kujikuta kwiniElizabeti
Wakipata pesa wanaanza kukimbizana na wadada wa kwa mparange na wewe unaonekana mshamba usiye na mvuto
Blessed Tuesday Kurucee
Sasa kwa nini uchake wakati una kazi yako yaani wewe just kutumia mshahara wako kujiremba ili hubby atambe na my wife kitaa nayo shida wakati analipa ada analisha familia anawatoa outing. Kusuka nayo mpaka usubiri mume kweli? Huu sasa ni ubinafsi uliopitiliza
Sifanyi mambo kwa.kuwa mtumwa wala furaha yangu haitegemei mwanamke yeyote hapa Duniani.Mwanamke ana masikio matatu mwanaume jitahidi kumpa mwanamke maneno mazuri katika masikio yake mawili na zaidi anahitaji kuzibuliwa katika sikio la tatu mzibue kisawasawa utakuja nishukuru baadae
Urudi kwenu kivipi wakati kazi unayo?Kwahiyo nirudi kwetu kuomba pesa ya kusuka na ya lotion😆😆😆
Na ya nini tena!? SEMA zote 😅😅😅
Binafsi kwenye hayo uliyotaja,itategemeana na mhusika mwenyewe kama ana recycle the same things, maana hata matunzo kuna yanayomhusu..
Kinyume na hapo hakuna rangi utaacha kuona na kwangu mwanamke sio muhimu sana au lazima kiasi kwamba eti akiondoka ninyong'onyee,never..
Cha msingi kwangu huwa ni pesa,nikiwa na pesa nanunua hadi upendo na heshima.
Matumizi tuu wala hayajawahi kuwa tatizo,ila habari ya sijui kufanyanayoangaliaga kwenye movie au kubembelezwa,huu upuuzi ndio siuwezi kabisaa..Ndio ataondoka ili usinyong'onyee kwa kuombwa matumizi😆😆😆
Au atawezeshwa na watu wengine
Mimi huo ujinga sina, utaratibu wangu ni mfumo.dume yaani ukauzu full stop,hizo mambo za kwenye movies Sina na sifanyagi.