"Mwanamke afanyiwe nini ili awe na utulivu, utii na upendo wa dhati kwa mwanaume wake?" Jibu limepatikana

"Mwanamke afanyiwe nini ili awe na utulivu, utii na upendo wa dhati kwa mwanaume wake?" Jibu limepatikana

Mwanamke mpe PESA tu; hayo mengine uliyoyaandika kwa herufi kubwa ni PESA itakusaidia kuyafanya.

Ukiweza kumpa vyote anavyotaka hata usipompa pesa haina tabu😅😅

Ukimkuta mwanamke mzuri ukampenda pesa ndio iliyofanya umuone anakufaa. Sasa usije kumchukua alafu ukashindwa kum maintain akarudi kule alikotoka

Wewe tafuta pesa tuu
 
[emoji3][emoji3]

Ukimkuta mwanamke mzuri na mrembo anaependeza kwa sura, mavazi na amani ya moyo ukaamua kumpenda unatakiwa ujue pesa ndio iliyofanya umuone anakufaa.

Wazazi wanamgharamia bila kulalamika hadi akawa hivyo, Sasa usije kumchukua alafu ukashindwa kum maintain ukamzeesha na kumchakaza akachoka akarudi kule alikotoka. Hapo ndipo unapoonekana hukuwa na utayari wa kubeba jukumu
 
Ukiweza kumpa vyote anavyotaka hata usipompa pesa haina tabu[emoji28][emoji28]

Ukimkuta mwanamke mzuri ukampenda pesa ndio iliyofanya umuone anakufaa. Sasa usije kumchukua alafu ukashindwa kum maintain akarudi kule alikotoka

Wewe tafuta pesa tuu
[emoji3]

Hakika mkuu, umenena vema mno.

Mwanaume ni kutafuta pesa tu. Imeisha hiyo.
 
Ukimkuta mwanamke mzuri na mrembo anaependeza kwa sura, mavazi na amani ya moyo ukaamua kumpenda unatakiwa ujue pesa ndio iliyofanya umuone anakufaa.

Wazazi wanamgharamia bila kulalamika hadi akawa hivyo, Sasa usije kumchukua alafu ukashindwa kum maintain ukamzeesha na kumchakaza akachoka akarudi kule alikotoka. Hapo ndipo unapoonekana hukuwa na utayari wa kubeba jukumu
Halafu mbona kama unanifaa mama D ? [emoji848]

Njoo basi nikupe PESA [emoji3]
 
Simpo andi clia
 
hahaha

usicheke atiiiii

huu uzi na sie singo bati meridiiii unahusu????

[emoji23][emoji23]
Tumuulize mleta uzi mama D kama singo bat meridi wapo na nafasi yao humu au niaje!

Ukitafuta kipooza koo unaishi fresh tu yani!

Unahusu sanaaa
Heri kubadili gia angani kuliko kuBADILI TABIA kuwa kitu ambacho sio bora kama ulivyokua
Usinipopoe😜😜
 
Wewe tuma pesa tuu nitakuja mwenyeweeeee
Mradi ziwe pesa yaaani fweza haswa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa natumaje wakati sina namba yako ya simu? Nataka nitume na ya mwanangu D kabisa [emoji3]
 
Unahusu sanaaa
Heri kubadili gia angani kuliko kuBADILI TABIA kuwa kitu ambacho sio bora kama ulivyokua
Usinipopoe[emoji12][emoji12]
hahahah

sikupopoi

maisha tu...unajikuta paaap na tabia imebadilika ghafla [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
hahahah

sikupopoi

maisha tu...unajikuta paaap na tabia imebadilika ghafla [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Tatizo ndio liko Hapo. Mtu kakukuta na lifestyle yako budget ya nywele ya 100k, lotion ya 40k, lipstick na wanja ya 20k, airtimebundle 60k......
Akishakuchukua anataka upake mafuta ya korie kichwani hadi mguun na nywele unyoe...ati short hair ndio nzuri😃😃
Ukidanganyika ukabadili tabia umekwishaaaa
 
Back
Top Bottom