"Mwanamke afanyiwe nini ili awe na utulivu, utii na upendo wa dhati kwa mwanaume wake?" Jibu limepatikana

"Mwanamke afanyiwe nini ili awe na utulivu, utii na upendo wa dhati kwa mwanaume wake?" Jibu limepatikana

Wanaume siku hz tumesahau kuwa mwanamke anapaswa kuwa sehemu ya maisha yako sio mwanamke awe maisha yako. Wanawake wapo kutupa upendo nas tupo kuonesha upendo. Mwanamke anatak uzungumze naye kihisia. Tafta mwanamke aliye kweny ligi yako. Hwez lala na kila mwanamke u

Aminaaaa
 
Mwanamke akikupenda, yote hayo comes naturally.

Na ndo maana unawaona watu wa kawaida tu na wana wake visu sana na watulivu kwenye ndoa zao.

Mtaimba sana na kuumiza kichwa lakini a woman in love is something else.

Kuna vitu viwili na huja tofauti kadri ya mazingira anayokutana nayo
1.Kuna mwanamke kupenda na
2.Upendo wa mwanamke kudumu
 
Very true sababu hawa wenzetu nao wapo aina mbili.

Kuna wa kuonyesha shukrani kwa kuvumiliwa kipindi cha shida, kuna wa kukufanya ujute ulikuwa unavumilia nini.

Wanaume wengi wakiwa vibaya kiuchumi hohehahe Wana upendo wa HATARI!

Utapendwa wewe hadi unaweza kujikuta kwiniElizabeti

Wakipata pesa wanaanza kukimbizana na wadada wa kwa mparange na wewe unaonekana mshamba usiye na mvuto

Blessed Tuesday Kurucee
 
Kama ananipa uroda sina hiyana ila akinibania na mimi nitambania.

Ila hiyo attention na huo upuuzi wa kukaa wote mda wote sintakua nao. Hivyo vingine ntampa na yeye anipe utelezi maana mkono wangu ni mgumu sana unaumiza mtwangio.
 
Hakuna mwanamke anayefanyiwa hayo akatulia. In fact wengi wanaopewa exposure hizo ndo wanakua wajinga tu. Utulivu wa mwanamke ni akili njema kutoka Kwa Mungu. Mwanamke mfanye ajitambue kusudi la maisha yake na uwe on her side anapoendelea kukua na kupambana.

Badala ya wewe kuhangaika kumtunza ,mwanamke atakupa matunzo mara dufu
 
Wanaume wengi wakiwa vibaya kiuchumi hohehahe Wana upendo wa HATARI!

Utapendwa wewe hadi unaweza kujikuta kwiniElizabeti

Wakipata pesa wanaanza kukimbizana na wadada wa kwa mparange na wewe unaonekana mshamba usiye na mvuto

Blessed Tuesday Kurucee
You are so right.

Thank you, same to you dear.
 
Ni kweli anaishi nanyi kwa akili kwa sababu pesa yake anapiga kutoka kwa wanawake.

Kwahiyo anacheza vizuri na saikolojia yenu, yeye utabibu wake ni matatizo ya wanawake na homoni zao tu, atawapiga ela hadi akili ziwarudie.

Kila binadamu na kila chanzo Cha mapato kinatokana na kutatua changamoto au matatizo ya watu wengine.

Na yeye Mwaka ndicho anachofanya na Mimi na wewe tutafute matatizo tuyatafutie suluhu nasi tupige pesa. Sio dhambi
 
Wanataka ukae napesa utafute sangp
Kikawaida mwanamke hataki kitu
Lakini pia anataka vyote!
 
Kila binadamu na kila chanzo Cha mapato kinatokana na kutatua changamoto au matatizo ya watu wengine.

Na yeye Mwaka ndicho anachofanya na Mimi na wewe tutafute matatizo tuyatafutie suluhu nasi tupige pesa. Sio dhambi
Mwaka hakuna Samia wala suluhu anayotatuwa, ni mpigaji tu kama wapigaji wengine.
 
Hivi mwanamke akipewa yote hayo hadi kukatwa kucha yeye kwa upande wake anatoa nini na nini na nini na nini?

Manake ukipokea na wewe unatakiwa kutoa ili iwe perfect combo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu uzi unatuhusu na sisi ambao mioyo yetu ishaota sugu?

Ambao watoto wa mama mkwe hawarushtui tena?????

Sisi ambao kikubwa uhai?

Ambao tupo singo bati meridi?
 
Wenzio wamelamba na kudeki kwa midomo yao hizo nanii... ila wanaonekana bure.. wanaushetani hao. Ukicheka nao mbinguni hufiki ng'o

Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
 
Huu ni ukweli bila chenga kwamba mwanamke anataka VYOOOOTE

MAPENZI, CARE, ATTENTION, SIM NZURI, GARI ZURI, MUDA WAKO, KUBEMBELEZWA......

Mwaka anayaweza kwelikweli
Wakolosai 3:18-19
[18]Ninyi wake, watiini waume zenu, kama ipendezavyo katika Bwana.
Wives, submit yourselves unto your own husbands, as it is fit in the Lord.

[19]Ninyi waume, wapendeni wake zenu msiwe na uchungu nao.
Husbands, love your wives, and be not bitter against them.
 
Hivi mwanamke akipewa yote hayo hadi kukatwa kucha yeye kwa upande wake anatoa nini na nini na nini na nini?

Manake ukipokea na wewe unatakiwa kutoa ili iwe perfect combo

I fall in love with your comment 😘

Hilo ni swali gumu sana ambalo wengi hawalizungumzii kabisa....

Ubinafsi huwa unaanzia hapo.... Tusubiri wajuzi wakujibu...
 
Back
Top Bottom