Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 3,003
- 8,385
Ndugu feminist wa kiume naona unawashwawashwa.Mnaona sasa ma'simp, hii ndio namna ya kuwajibisha mwanamke tapeli. Amekula pesa yako halafu akaenda kinyume na melekezo unampeleka mahakamani adeal na matokeo ya tabia yake mwenyewe.
Sasa wewe mwanamke anakula pesa yako unabakia unakenua meno kinafiki anakujia tena anakubomu nyingine tena na tena unakalia kukenua meno. Mwisho wa siku anaanza kukukwepa maana anaanza kujistukia "hili jinga lipo serious na maisha kweli kila siku nalitapeli lenyewe linaamini nalipenda"
Acheni usimp wanawake wa hovyo wanawatumia ninyi kama egemeo la gharama za kimaisha bila faida yoyote upande wenu.
Hizo pesa pelekea yatima utapata baraka mbinguni na duniani, mtumie mama yako, mtumie rafiki yako ambaye anakupambania sana ukiwa umekwama. Achana na usimp, wanawake huwa hawawapendi masimp wanawatumia tu kwa haja zao.
Kuna huyu MamaSamia2025 , wanawake huyu tumewapa kama sadaka, mtumieni tu hadi siku aumie kisawa sawa afanye tukio la aibu. Hakikisheni mnakausha damu.
mbona wanatapeliwa sana vijana, sema ignorance of law inawafanya wasiende mahakamani, pia na ile publicity ya aibu/societal outlook ya hicho alichotaka kukifanya na mwanamke mtu anaamua kufa kiofisaHii iki fika bongo, basi wata nyongwa kabisa
Mmmmh, coincidence ?, mbona kama inanihusu kabisa hii duhπππ, majina the same yote, kasoro lengo tu, na kiasi ni karibu ichoicho. dunia ngumu sana hii.Mahakama ya Mwanzo jijini Lagos nchini Nigeria, imemhukumu Mwanamke anayefahamika kwa jina la Jennifer kulipa faini ya β¦450,000 sawa na zaidi ya Shilingi laki 730,000 za Kitanzania baada ya kupatikana na hatia ya kupokea fedha kwa udanganyifu.
Kwa mujibu wa kumbukumbu za Mahakama, Jennifer alipokea β¦30,000 sawa na Shilingi 490,000 kutoka kwa kijana aitwaye Emmanuel, aliyedai kumtumia fedha hizo kwa ajili ya nauli ya kumtembelea nyumbani kwake, hata hivyo, baada ya kupokea fedha hizo, Jennifer hakufika kama walivyokubaliana na baadaye akakata mawasiliano.
Emmanuel aliwasilisha malalamiko mahakamani, akieleza kuwa kitendo hicho kilikuwa ni aina ya utapeli wa kifedha, baada ya kusikiliza ushahidi, mahakama iliamua kwamba hatua ya Jennifer ilikuwa ni udanganyifu na unyonyaji wa kifedha, hivyo kumlipa Emmanuel fidia kubwa zaidi ya kiasi alichotapeliwa awali.
Hakimu aliyesikiliza shauri hilo alisisitiza kwamba visa vya utapeli wa nauli ya usafiri vimekuwa vikiongezeka na vinachukuliwa kama aina ya uhalifu wa kimtandao na aliongeza kuwa hukumu hiyo imelenga kuwa fundisho na onyo kwa wengine wanaojihusisha na vitendo hivyo.
Jennifer sasa anatakiwa kulipa faini ya β¦450,000, na endapo atashindwa kufanya hivyo, atakabiliwa na hatua zaidi za kisheria.
Chanzo: MillardAyoUPDATES
Feminist wana relate na wanawake. Mimi ninachoongea unaona kinavuta mambo ya kike?Ndugu feminist wa kiume naona unawashwawashwa.
Wewe ni wa kike kwenye umbo la kiume. Ulishindwa kuandika comment yako bila kunitag? Wanawake ndo hupenda maneno maneno. Wewe una hiyo tabiaView attachment 3456237
Feminist wana relate na wanawake. Mimi ninachoongea unaona kinavuta mambo ya kike?
Ni wewe ndie una mambo ya kike kutetea mfumo ambao unawafaidisha wanawake wasio na malengo mazuri kwa wanaume ukijitetea kuwa ni chaguo binafsi.
Acha usimp unapenda sana kutumika haina masilahi hiyo.
Kwasababu so far wewe ndio Simp ambaye anajionesha wazi wazi kwa kukasirika ninaposemea na kukemea tabia za kisimp.Wewe ni wa kike kwenye umbo la kiume. Ulishindwa kuandika comment yako bila kunitag? Wanawake ndo hupenda maneno maneno. Wewe una hiyo tabia
Naomba nitumie namba yako ya simu PM ili tukutane uso kwa uso unishauri zaidi kuhusu hayo mambo unayonituhumu nayo.Kwasababu so far wewe ndio Simp ambaye anajionesha wazi wazi kwa kukasirika ninaposemea na kukemea tabia za kisimp.
Sasa kwanini nisikutag na kukuexpose publicly?π€
Wewe ni simp na ni tatizo katika jamii. Simp hana sifa za kiume anakuwa ni Mwanaume kijinsia ila tabia sio za kiume.
So go ahead and continue simping while i educate the curious minds.
Stop simping
View attachment 3456285
Sijui kama unajua mantra yangu. Siivi na masimp, mafeminist na masingle mother. Kwasababu ni tatizo kwangu. Sasa sijui wapi unapata wazo la kutaka kuwasiliana na mimi au kukutana.Naomba nitumie namba yako ya simu PM ili tukutane uso kwa uso unishauri zaidi kuhusu hayo mambo unayonituhumu nayo.
Punguza uoga. Tuma hiyo namba unipe ushauri kwenye hicho unachonituhumu.Sijui kama unajua mantra yangu. Siivi na masimp, mafeminist na masingle mother. Kwasababu ni tatizo kwangu. Sasa sijui wapi unapata wazo la kutaka kuwasiliana na mimi au kukutana.
Acha kusimp uwe sawa.
View attachment 3456367
Join the simp club. Lions don't befriend hyenas.Punguza uoga. Tuma hiyo namba unipe ushauri kwenye hicho unachonituhumu.
πππ uoga wako umekuokoa. Ungejuta