monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Noma sana!Ishakatika saa72
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sana!Ishakatika saa72
Ndio wanakula kavu au?Wanandoa hasa wakichepuka
Kwa kiwango kikubwa maana wamezoea kabuNdio wanakula kavu au?
Huo msisimko wa nyama kwa nyama unatakiwa uupate kwa manzi unayempenda na kumuaminiSema wazee msisimko wa nyama Kwa nyama una vibe yake
Unamlalaje demu usiyempenda na usiyemuamini?Huo msisimko wa nyama kwa nyama unatakiwa uupate kwa manzi unayempenda na kumuamini
Mwanaume anaweza kumla mwanamke ht asiyempenda, tofautisha kutamani na kupenda.Unamlalaje demu usiyempenda na usiyemuamini?
Kwahiyo Kila anayemtaka umshtue utashtua wangapi? Acheni umalaya mtakufa kibudu na kutesa familia zeny wapuuzi nyieWashkaji kama nyie jau sana kwahyo ukashindwa kushtua wana .
Liwalo na liweNoma sana!
Kwa makubaliano yetu lazima tupime ili tuendelee kwa uhuru, ila watoi wa afumbili kibokoJirani 😹😹
Sasa unaenda kupima nini na tendo lishafanyika??!!
Siumwi pole yanini tena, alafu kaka yanini hapo?Pole kaka yanguu u will be fine...
Nmekosa mimi nimekosa sana mzabzab anafurahi sana vijana tukiuza mechi, acha nikapime sirudii kosa.Haaahaa 😊 😅 😅 alafu ulikua unatukataza tusipige gambee..
Bora gambe kuliko kuuza mechi nisawa sawa na kuvuka barabara ukiwa umefumba macho.
Sina namna mkuu ila naamini atakuwa salama.🤣🤣🤣jikazee tu mkuu
Bas sawa uncleSiumwi pole yanini tena, alafu kaka yanini hapo?
Mpaka ipite miezi mitatu.Nmekosa mimi nimekosa sana mzabzab anafurahi sana vijana tukiuza mechi, acha nikapime sirudii kosa.
Uncle mwenyewe niite mkuu au mengineyoBas sawa uncle
Sina namna mkuuMpaka ipite miezi mitatu.
Heeee hayaaaUncle mwenyewe niite mkuu au mengineyo
Mtafute bibie uchukue HIV test mjipime au mwende wote kituo Cha afya mkapimee.Sina namna mkuu