Mwanamke hajapigwa hajafukuzwa katoroka mwenyewe karudi kwao unatakiwa ufwate utaratibu gani ili asije akanisumbua badae? Mathalani ukitaka kuoa asije akaweka pingamizi au akalazimisha mgawane mali.
Na je kuna ulazima wa yeye kuendelea kunufaika na bima ya afya uliyomkatia? Tena yeye na baba yake? Au niwapokonye?
Kaondoka muda gani? Sheria inatoa maelekezoUhalali wa kunufaika na bima ni pale anapokuwa kwangu sasa kaondoka anaendeleaje kuwa na sifa hiyo?
Mpelekee jiko lake la kupikia kama amekuachia.Mwanamke hajapigwa hajafukuzwa katoroka mwenyewe karudi kwao unatakiwa ufwate utaratibu gani ili asije akanisumbua badae? Mathalani ukitaka kuoa asije akaweka pingamizi au akalazimisha mgawane mali.
Na je kuna ulazima wa yeye kuendelea kunufaika na bima ya afya uliyomkatia? Tena yeye na baba yake? Au niwapokonye?
Dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzie!Mwanamke hajapigwa hajafukuzwa katoroka mwenyewe karudi kwao unatakiwa ufwate utaratibu gani ili asije akanisumbua badae? Mathalani ukitaka kuoa asije akaweka pingamizi au akalazimisha mgawane mali.
Na je kuna ulazima wa yeye kuendelea kunufaika na bima ya afya uliyomkatia? Tena yeye na baba yake? Au niwapokonye?
Kama bado unampenda mfuate kapige magoti. Vinginevyo nenda kwa kiongozi wa mtaa ripoti mkeo katorokea kwao. Kama pana washenga washirikishe pia.Mwanamke hajapigwa hajafukuzwa katoroka mwenyewe karudi kwao unatakiwa ufwate utaratibu gani ili asije akanisumbua badae? Mathalani ukitaka kuoa asije akaweka pingamizi au akalazimisha mgawane mali.
Na je kuna ulazima wa yeye kuendelea kunufaika na bima ya afya uliyomkatia? Tena yeye na baba yake? Au niwapokonye?
Kabla hujawaza mambo menginbe sijui bima sijui mali, ushajua kwa nini kaondoka? Nilitegemea uulize uanze vip kumaliza tatizo ila wewe unachowaza ni mali? Unadhani mpaka anaondoka hakuna sababu?Uhalali wa kunufaika na bima ni pale anapokuwa kwangu sasa kaondoka anaendeleaje kuwa na sifa hiyo?
Mwanamke hajapigwa hajafukuzwa katoroka mwenyewe karudi kwao unatakiwa ufwate utaratibu gani ili asije akanisumbua badae? Mathalani ukitaka kuoa asije akaweka pingamizi au akalazimisha mgawane mali.
Yes inawezekana mwanamke katishiwa kisu na maneno ya nitakuua akaona ya nini kujifia kajitokeaKabla hujawaza mambo menginbe sijui bima sijui mali, ushajua kwa nini kaondoka? Nilitegemea uulize uanze vip kumaliza tatizo ila wewe unachowaza ni mali? Unadhani mpaka anaondoka hakuna sababu?
Cha kufanya mfate kwao, kwanza ujuwe tatizo ni nini.
Kingine ushauri wa ovyo utakao pewa humu upuuzie, utaambiwa, kaondoka mwenyewe mwache, ila hao wanaokushauri hivyo usiku wanalala na waume zao/wake zao, wengine hawana ndoa kabisa ila wanaongoza kutoa ushauri wa kubomoa.
Mfate mkeo kwao akwambie nini shida.