Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, kumbe hawa majirani ndo huwa wanatumika kama satellite za kurusha matangazo, wanawake janja janja sana..........Katafute mzuri zaidi mweke ndani. Asubuhi aamke na khanga moja awe anafufua vinguo hapo nje. Majirani watapiga simu atarudi siku hiyo hiyo.
Fuata utaratibu wa ndoa kuripoti hilo muhimu mnoMwanamke hajapigwa hajafukuzwa katoroka mwenyewe karudi kwao unatakiwa ufwate utaratibu gani ili asije akanisumbua badae? Mathalani ukitaka kuoa asije akaweka pingamizi au akalazimisha mgawane mali.
Na je kuna ulazima wa yeye kuendelea kunufaika na bima ya afya uliyomkatia?
Tena yeye na baba yake? Au niwapokonye?
Mwanamke hajapigwa hajafukuzwa katoroka mwenyewe karudi kwao unatakiwa ufwate utaratibu gani ili asije akanisumbua baadaye? Mathalani ukitaka kuoa asije akaweka pingamizi au akalazimisha mgawane mali.
Na je kuna ulazima wa yeye kuendelea kunufaika na bima ya afya uliyomkatia?
Tena yeye na baba yake? Au niwapokonye?
🤣🤣🤣Itakua ni ndoa ya kigalatia (japo iko kiserikali), ya kikobazi huo ujinga hakuna akiondoka tu bila taarifa, unavuta jiko lingine chap, talaka 3 zinamfuata huko aliko,
🤣🤣🤣Hahahaaaa aiseeNunua kanga pc 3 na vitenge kama 2 hivi na taiti kama 3 alafu zifue kimya kimya anika nje manirani wazione alafu wee jichimbie ndani au jitahidi wewe usionekane alafu sikukizia kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mke wangu aliondoka mwenyewe kakimbilia kwao baada ya kumgundua alikuwa na mchepuko uliompachika mimba kwa makubaliano ya kumzalia mtoto,mimi nahudumia nikijua mtoto wangu kumbe nalea mbegu za mwingine,nilivyojua hilo na kuanza kufuata taratibu za kupeleka sehemu husika,akatoa ujauzito,nalo pia nikalijua kwa ushahidi wa audio.nikaenda kwa kiongozi wa dini mke hakutoa ushirikiano,ndg zake mpaka leo imepita miaka3 hawanipi ushirikiano,alivyoona naenda serikali ya mtaa akaondoka mwnyw hadi leo sijui yuko wapi.kwa muktadha huu inabidi nitoe taarifa wapi?Kaondoka mwenyewe hajafukuzwa ya nini kumfuatilia. Na hajaenda kwao huyo, mwanamke haondoki kwake unless kapata makazi mapya (bwana).
Kwa vile kisheria bado ni mkeo na kuondoa kadhia ya baadae atakapozingulia huko makazi mapya kutaka kurudi kwako (katika akili yake kwako bado ni kwake kwa akiba) vunja ndoa kabisa. Vuta chombo nyingine kali zaidi amiliki jimbo na bima yake na baba yake hamishia kwa chombo Kipya.
Ila pia jitathmini kwanini umekimbiwa unaweza jikuta una matatizo kupelekea muendelezo wa kukimbiwa hata ukipata mwingine.
Maka huu ndio uamuzi wa kiume asipoufata huu huyo mwanamke wake atampekeka peleka sanaKaondoka mwenyewe, kaenda kwao, sio kapotea, kaenda kwao, sasa uhangaike kumfata wa nini? Vunga akili imkae sawa, akiona una umuhimu atarejea na adabu atakuwa nayo, ila akiona ww miyeyusho hawezi kurudi na usithubutu kumfata ndio kabisa atavimba bichwa, ataona wewe bila ya yeye huwezi kuishi, yaani atahisi kama ni oxygen gas yako
Hata ndoa ya serikali bado mkeoKwa nyongeza ndoa ni ya serikali sio ya dini.
Mzee ana hatia kubwa,how come unapokea mke wa mtu kwako ,alitakiwa amfurumshe siku ya kwanza,huo ndio utaratibu au arudishe mahariKama bado unampenda mfuate kapige magoti. Vinginevyo nenda kwa kiongozi wa mtaa ripoti mkeo katorokea kwao. Kama pana washenga washirikishe pia.
Toka na barua ya kiongozi kafikie kwa kiongozi kisha nenda na kiongoz had kwao. Thibitisha uwepo wake kwa wazazi wake. Kisha anza maisha mengine. Bina yake block bila huruma. Ila ya mzee msaidie hana hatia.
Kwa nini kuingia gharama zote,avute tu kamchepuko aje nako jioni akapelekee moto asubuhi akasindikizeNunua kanga pc 3 na vitenge kama 2 hivi na taiti kama 3 alafu zifue kimya kimya anika nje manirani wazione alafu wee jichimbie ndani au jitahidi wewe usionekane alafu sikukizia kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini tukumbuke hizo sababu zikiwa ktk maandishi zinakuwa guaranteed kumsaidia muhusika baadae incase mtenda kosa akaleta kelele.We kausha tu ukitaka kuoa unaoa tu. Kujitesa kuzunguka kwa nini. Hata ukijiwa juu sababu ya waz unayo. ALIONDOKA MWENYEWE
Sasa mkuu hapo unataka utoe taarifa gani? Dah mtu kasaliti na mimba juu, bado kakimbia, wewe wapigie sim kwao uwajulishe yalojiri wajue tu hauko na mtoto wao, ila hapo umesema imepita miaka mitatu, inamaana uliishi nae hata baada ya kuyajua hayoMimi mke wangu aliondoka mwenyewe kakimbilia kwao baada ya kumgundua alikuwa na mchepuko uliompachika mimba kwa makubaliano ya kumzalia mtoto,mimi nahudumia nikijua mtoto wangu kumbe nalea mbegu za mwingine,nilivyojua hilo na kuanza kufuata taratibu za kupeleka sehemu husika,akatoa ujauzito,nalo pia nikalijua kwa ushahidi wa audio.nikaenda kwa kiongozi wa dini mke hakutoa ushirikiano,ndg zake mpaka leo imepita miaka3 hawanipi ushirikiano,alivyoona naenda serikali ya mtaa akaondoka mwnyw hadi leo sijui yuko wapi.kwa muktadha huu inabidi nitoe taarifa wapi?
Wapokonye .Mwanamke hajapigwa hajafukuzwa katoroka mwenyewe karudi kwao unatakiwa ufwate utaratibu gani ili asije akanisumbua baadaye? Mathalani ukitaka kuoa asije akaweka pingamizi au akalazimisha mgawane mali.
Na je kuna ulazima wa yeye kuendelea kunufaika na bima ya afya uliyomkatia?
Tena yeye na baba yake? Au niwapokonye?
Siku hizi kwenye jinsia ya kiume wavulana ni wengi mnoo kuliko wanaume, mtu anakuwa na umri wa kuwa mwanaume lakini anafanya mambo ya kivulana.Maka huu ndio uamuzi wa kiume asipoufata huu huyo mwanamke wake atampekeka peleka sana