Iseme sasa hiyo hoja yako,, maana tangu umeanza kuniquote hakuna cha maana ulichoandika zaidi ya personal attack tu eti oh hautaolewa mara badilika and bla bla bla..
Stop beating around the bush and go straight to your point,, kwamba mimi nakupinga sababu ya moja mbili tatu na siyo kuleta habari za kuulizia kuhusu personal issues ambazo hazikuhusu..
Ungempeleka chuo cha unesi akajifunze kushona shona watu. Hujui kusoma vipaji ndugu.Mi kuna mmoja niliachana nae maana dah dem eti haogopi mkiwa mnaangalia horror movies. Kuna wale mkiwa mnaangalia movie kama hii kuna matukio anaogopa kuangalia anajificha nyuma ya mgongo wako au anakulalia mapajani anakwambia utanisimlia hapo nini kilitokea ila huyu wangu anakodoa tu macho watu wanatobolewa utumbo au ubongo na mazombie ye uso mkavu hafichi ata uso kwa mikono. Nikasema we kaolewe na majenerali wa vikundi vya waasi kongo huko ndo mnawezana
Mapenzi huleta upofu na kupotoka, hata pale unapogundua mabaya unaassume atabadilika kumbe inakuwa makusudi ya Mungu kukuonesha
1. Mwanamke ambaye anapenda uanaharakati.
"Mimi sipendi mtu anyanyaswe, mimi hawawezi nifanyia hivyo.”
“Mimi mwanaume hanipigi kofi"
Katika maongezi ukisikia maneno hayo ogopa sana.
2. Mwanamke ambaye haogopi walezi au wazazi.
"Tangulia nitakukuta kama umeshanishtaki.”
“Nilimwambia mama kuwa atakayepokea barua na mahali/maali ataolewa yeye.Kwani mi ndo msichana pekee mwambie akamuoe dada kama mnampenda sana mwanaume huyu"
3. Mwanamke mwenye marafiki wa Kiume wengi zaid ya wanawake
“Mimi sipendagi kampani ya wanawake maana hatupendani"
Huyo Muogope
4. Mwanamke anayeshindwa kujali muda hana care yeyote na wewe. Unasimama sehemu masaa matatu kumsubiri yeye anadhani neno SORRY linafuta mateso ulosimama masaa yote.
Huyo muogope
5. Ukikutana na washikaji yeye akawa muongeaji na kutawala mazungumzo , ogopa sana huyo
6. Mwanamke mkienda out akatawala bili
“Mnauzaje hapa?”
“Wahudumu mbona mnakaa mbali?”
“Hesabu vizuri wasituibie chenji"
7. Mwananke anayekunywa kinywaji kigumu yaani Konyagi Bapa. Hatari
8. Mara Nyingi unamkuta kaunta na Bia moja anailamba lamba tu!
Ogopa.
Thank me later
Britannica
Waliotulia wapo Endapo Huyo Mwanaume naye akiwa ametulia na mpaka ukimwomba Mungu na uhalakati wa Mwanamke akiunza bila sababu Huyo atakuwa hafai na nitamshangaa
Miss u
Sidhani kama kuna sehemu nimekuambia "Hautaolewa"..
Is that your deepest fear?
Sent using Jamii Forums mobile app
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂au amukuweka kiporo akisubiri mtego utiki akukule kimasihara .
Hahaha jamani! Sijui nyie wanaume mtaka tufanye nini??Ogopa sana manzi asiekuomba hela
[emoji3][emoji3][emoji3] ,kwahiyo utahisi ulikua unaota unapigwa si kweli ama, nimecheka mnooDah! Hawa ndo mkizinguana anategea umelala anakupiga na chupa ya soda kwenye ugoko ukishtuka anajifanya kasinzia hana habari
Majukumu tu yamenificha mpenziUlipotelea wapi dear ??
Kwa iyo apo no 3 huwa anasaidiwa tu..Namba 3,7,8 ndo namba zangu izo ila hakuniogopa kabisa na akanioa
Kama akili zako za kidaslam achana na wanawake wa uku kaskazini..Bora we umeona wapare tu, kiujumla Wanawake wote kanda ya kaskazini ni Jehanamu isipokuwa Wamasai tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni rahisi sana kuliwa kimasikhara mkuuMabeberu hawaishi kutuwekea vikwazo jamani[emoji3][emoji3] mbona mnapangia mwanamke aishi vipi.Sasa sisi wa namba 3 kila siku unahisiwa wewe msalit
Asipokuomba hela ujue kuna mtu waga anampa,,yaani kuna chalii anakusaidia kutunza.