Mwanamke akionesha dalili au tabia hizi achana naye

mtupe tips na sisi
Mwanaume akionesha dalili au tabia gani uachana naye?
Swali zuri.

1. Akiwa hana heshima na wewe kwa kukutamkia maneno ya dharau na matusi na kejeli bila kuhofia.

2. Akiwa anakusikiliza wewe zaidi badala ya kukupa wewe muongozo.

3. Akiwa anakushawishi kufanya mambo ambayo in the future yanakuweka wewe matatani mfano kila unapopata ujauzito yeye anawaza kuutoa na anatishia kukuacha, anakurekodi picha za uchi, hana wivu na wewe hata ule wa kujificha.
4. Anakuruhusu uwaachie ndugu zako au ndugu zake kuingilia maisha yenu binafsi. Hii itakuja watafuna baadae mkianza familia.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nimesoma number moja tu na nimeruka kukujibu, hivi unataka mwanamke awe anakubali kunyanyaswa na kupigwa makofi? Hivi ni kama unasema mwanamke kupigwa na mumewe na kunyanyaswa ndio part and parcel ya mahusiano ya mwanamme na mwanamke?

Mwanamke anatakiwa kuenziwa na kupendwa. Na kupiga piga sio mapenzi.
 
Mpenz niko smart sana ila nikiteleza nikumbatie uniulize taratibu..
 
Sawa nimekuelewa ila naomba nikuulize kitu,, hayo yote uliyosema yanawahusu hadi wale wanawake ambao wanawasaidia waume zao majukumu yao yaani mfano mwanaume akilipia umeme mwanamke analipia maji mwanaume akilipia ada mwanamke analipia kodi hao nao yanawahusu hayo??
Karma
 
Oohh kwahiyo wewe unataka ukikosea mkeo akuambie kwa utaratibu,, ila mke akukosea wewe umpige au umtukane ??
Karma
 
Nikuambie tu ukweli,, mimi mwanaume ambaye anafanya vyovyote anavyojisikia hata kama anakosea eti kwa sababu tu yeye ni mwanaume siwezani naye kwa kweli yaani ni heri nisiolewe kabisa maisha yangu yote kuliko kuolewa na mwanaume wa aina hiyo..
Karma
 

Ukiona unadharauliwa jiangalie wewe kwanza mara mbili mbili, halafu usijibiwe wewe ni nani kwani..hayo maisha yaliishia mwaka 90. Ss hvi maisha ni magumu bado upate na mwanaume anajiongelesha eti anakunyoosha kwa kipigo[emoji23][emoji23] tutanyooshana very well


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ukiwa na mwanamke, halafu ghafra anaanza kukwambia "fulani ananitongoza"
alarm ianze kulia kichwani mwako.
wewe jiulize ni wangapi wanamtongoza huwa hakwambii? Kwa nini huyu?

Ndugu ukiambiwa na demu mf "joni abanitongoza" basi hapo ni kama unaambiwa Ninakupenda lakini na joni nampenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…