Mwanamke akionesha dalili au tabia hizi achana naye

Mwanamke akionesha dalili au tabia hizi achana naye

Hahahah. Mwanamke jasiri kama wanamume mi hamna aisee. Si ndo wale nyoka anaingia geto dem badala aogope akimbie nyumba unakuta kamuua amemfunga kamba kamning'iniza mlangoni au anakuwa anakurushia huyo nyoka kukutisha. Sasa hapa nani anakuwa mwanaume ndani ya nyumba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...akijiunga jamiiforums kimbia spidi Kali ya mwanga ndo wanakuwaga activist ,feminist ,freedom movement
 
Ogopa mwanamke unayemtoa out akaagiza vinywaji vya gharama bila kukunsult,
 
Mi kuna mmoja niliachana nae maana dah dem eti haogopi mkiwa mnaangalia horror movies. Kuna wale mkiwa mnaangalia movie kama hii kuna matukio anaogopa kuangalia anajificha nyuma ya mgongo wako au anakulalia mapajani anakwambia utanisimlia hapo nini kilitokea ila huyu wangu anakodoa tu macho watu wanatobolewa utumbo au ubongo na mazombie ye uso mkavu hafichi ata uso kwa mikono. Nikasema we kaolewe na majenerali wa vikundi vya waasi kongo huko ndo mnawezana
[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mabaharia huwa mnakosea wapi?? Mnaonyana lakini threads za malalamishi yenu haziiishi... baadhi yenu somo haliwaingii ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜Š
 
No 3 inanihusu kwa hiyo mabaharia niogopeni, sitaki urafiki na wanawake japo nashirikiana nao kwa Mambo mengi hasa ya kibiashara na kijamii, napenda kuwa na marafiki wa kiume wale wenye mawazo chanya, sio wale wanaowaza ngono kila saa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona mwanaume hawazi ngono, ilhali wewe tako lako, sura yako na tabia vinavutia, huyo hajakamilika,

Au

Kinyume chake ww ni flat screen
Over

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi kuna mmoja niliachana nae maana dah dem eti haogopi mkiwa mnaangalia horror movies. Kuna wale mkiwa mnaangalia movie kama hii kuna matukio anaogopa kuangalia anajificha nyuma ya mgongo wako au anakulalia mapajani anakwambia utanisimlia hapo nini kilitokea ila huyu wangu anakodoa tu macho watu wanatobolewa utumbo au ubongo na mazombie ye uso mkavu hafichi ata uso kwa mikono. Nikasema we kaolewe na majenerali wa vikundi vya waasi kongo huko ndo mnawezana
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom