Waache vijana waoe sura na makalio baadae akili zitawakaa sawa.Yule Tunda aliyesumbua online kwa mkoa wa Arusha ile ni normal specie. Ukiwa Singida au Babati unakutana wa zaidi yake wengi wakiwa wanauza matunda sokoni au wanafanya usafi.
Kuna she alitrend mfanyakazi wa Tilisho sikumbuki jina, wakadai ni mzuri. No yule bado kabisa yaani lakini she alibebwa na mindset na uwepo wa simps waliojaa online.
Theory ya mleta mada ime base kwenye pisi kali tofauti na hapo theory inakufa!😁Acha hizo tutest theory ya mleta mada kama kweli
Nimejiridhisha wewe ni pisi kali.Theory ya mleta mada ime base kwenye pisi kali tofauti na hapo theory inakufa!😁
Ah hapana! So kweli..Nimejiridhisha wewe ni pisi kali.
Acha kuruka ruka. Mbless bro experiment hiyo ikamilikeTheory ya mleta mada ime base kwenye pisi kali tofauti na hapo theory inakufa!😁
Yule dogo wa tilisho , huwa nili shangaa sana taifa zima lilipo kiri kuwa ni pisi kali😅Yule Tunda aliyesumbua online kwa mkoa wa Arusha ile ni normal specie. Ukiwa Singida au Babati unakutana wa zaidi yake wengi wakiwa wanauza matunda sokoni au wanafanya usafi.
Kuna she alitrend mfanyakazi wa Tilisho sikumbuki jina, wakadai ni mzuri. No yule bado kabisa yaani lakini she alibebwa na mindset na uwepo wa simps waliojaa online.
Bro nani? Experiment tena🫢 kumbe inaonesha wewe ni pisi au la? Nilijua ni mwonekano wa nje tu!Acha kuruka ruka. Mbless bro experiment hiyo ikamilike
Muacheni nancy wa watu, unaponda mpk ndugu zako🥴Yule dogo wa tilisho , huwa nili shangaa sana taifa zima lilipo kiri kuwa ni pisi kali😅
Ni ndugu yangu ndio ila kwenye pisi kali nohhhh😅Muacheni nancy wa watu, unaponda mpk ndugu zako🥴
Kaka sometimes unajikuta unafika muda unataka kuoa wote ulionao ni sura kali na makalio inabidi tu mipango ianzeWaache vijana waoe sura na makalio baadae akili zitawakaa sawa.
Sasa kama yule sio pisi kali mimi sura ya baba na huu mwili wa tembo itakuwaje😬Ni ndugu yangu ndio ila kwenye pisi kali nohhhh😅
Acha tu mzee. Mwanzo nikahisi wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa baadaye nikanotice watu wapo serious.Yule dogo wa tilisho , huwa nili shangaa sana taifa zima lilipo kiri kuwa ni pisi kali😅
Tuma kapicha kwa faida ya membersAh hapana! So kweli..
Dah mwanetu unaniita mimi pisi? Haina nomaBro nani? Experiment tena🫢 kumbe inaonesha wewe ni pisi au la? Nilijua ni mwonekano wa nje tu!
Katika hao chagua 'beauty with brains 'Kaka sometimes unajikuta unafika muda unataka kuoa wote ulionao ni sura kali na makalio inabidi tu mipango ianze
Naanzaje anzaje kwanza😆Tuma kapicha kwa faida ya members
Sio wewe elewa concept!Dah mwanetu unaniita mimi pisi? Haina noma
Wapo serious mnoAcha tu mzee. Mwanzo nikahisi wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa baadaye nikanotice watu wapo serious.
Mhmmm, sjaona sura ya babaSasa kama yule sio pisi kali mimi sura ya baba na huu mwili wa tembo itakuwaje😬