Mwanamke akizaliwa pisi kali, amezaliwa na potential kubwa ya kuuaga umasikini

Hao wanaume wapo humu jf kwenye comments huku uraiani wanamwaga pesa balaa.
Hahaha pesa zenyewe tunazohonga elf 20 20 kwa mwezi tukizidi sana vilaki, ni za kumtoa pisi kali kimaisha 😁

Wanaume wenye uchumi stable wa kuweza kuhudumia mwanamke, wengi naona ni waume za watu au wababu, vijana wengi bado utajiri wao ni kitanda smartphone na jaba, kati ya vijana wenye hela nyingi hujatoa wenye hela za uchawi, mashoga, wabahili, majambazi, wasiokupenda, etc

Ukiwatoa hao unabakia na nini, unakua na very low chance ya kukutana na mwanaume kijana mwenye hela za kukubadilisha maisha ephen_
 
Ili azaliwe pisi kali, mtu anapaswa afanyeje?
 
Kwamba hakuna vijana wana hela za jasho? Jidanganye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…