Mwanamke aliyeolewa kunywa pombe ni sawa?

Mwanamke aliyeolewa kunywa pombe ni sawa?

Mwasapile

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2020
Posts
214
Reaction score
448
Nina swali!

Ni sawa kwa mwanamke aliyeolewa kunywa pombe, kulewa na kuchelewa kurudi nyumbani?

Nina rafiki yangu ana ndoa ya muda wa mwaka mmoja. Mwanamke ameanza tabia ya ulevi. Wakipishana kauli mwanamke anaondoka nyumbani anaenda kulewa sana na anarudi usiku saa nyingine hadi anatapika.

Na mavazi anayovaa akienda kwenye pombe ndio ya hatari zaidi.
 
Kuna unywaji na ulevi. Kama anakunywa bia moja au mbili ila siyo kila siku ni sawa ila akiwa mlevi ni hatari sana.

Mwanamke akienda bar kunywa kama huyo, kuna jamaa lazima anamnunulia.

Walevi wanapendana sana. Utasikia mpe huyo moja ndiyo mwanzo wa kupigwa mashine
 
Ni sahihi kabisa, tena hapo bado mume hajaanza kumuokota mkewe mitaroni.
 
Nina swali!
Ni sawa kwa mwanamke alieolewa kunywa pombe, kulewa na kuchelewa kurudi nyumbani...
Rafiki yako ni sholooooo!

Mkeo anaanzaje kuondoka Et akanywe pombe kisa mmepishana?

Kwamba anaanza kujiandaa, anavaa unusu utupu, na kimkoba, anajipodoa, anaweza wigi, huyo anatoka ..alafu anarudi usiku!

Eeehhh Naona wanaume tumebaki wachache sanaaa very very few
 
Nina swali!
Ni sawa kwa mwanamke alieolewa kunywa pombe, kulewa na kuchelewa kurudi nyumban.
Pombe haina adabu, inatakiwa control kubwa mno, kwa mwanamke mwanandoa mlevi aisee ni balaa tupu.

Kuna siku wakati wa ujana nilikutana na mwanamke mmoja kaenda kusalimia mwanae wa form II bording school, katika maongezi pale hotelini na kilaji kilivyokolea akaniambia nimsindikeze chumbani nimpandishe ngazi, kwani nilirudi.
 
Raha ya pombe unaenda kunywa ukiwa na furaha zako, sio unaenda kunywa ili ktpunguza stress.

Unaenda bar huna mawazo yoyote, unakaa kwenye kiti pembeni kabisa kule kisha muhudumu anakuja kukukaribisha. Unamwambia nipe safari ya baridi, anakuletetea safari kubwa inatoa jasho hivi.

Baadaye kidogo unampa ishara unamwambia niitie wa jikoni.

Anakuja, unamwambia niletee ile nzama nusu pilipili nyingi na mchicha. Hapo bia inakuwa tamu zaidi aisee! Kisha unaondoka zako na amani yote.
 
Back
Top Bottom