Mwasapile
JF-Expert Member
- Apr 20, 2020
- 214
- 448
Nina swali!
Ni sawa kwa mwanamke aliyeolewa kunywa pombe, kulewa na kuchelewa kurudi nyumbani?
Nina rafiki yangu ana ndoa ya muda wa mwaka mmoja. Mwanamke ameanza tabia ya ulevi. Wakipishana kauli mwanamke anaondoka nyumbani anaenda kulewa sana na anarudi usiku saa nyingine hadi anatapika.
Na mavazi anayovaa akienda kwenye pombe ndio ya hatari zaidi.