Siyo siri!!!Mwagilia moyooooooo[emoji1][emoji1]
Rafiki yako ni sholooooo!Nina swali!
Ni sawa kwa mwanamke alieolewa kunywa pombe, kulewa na kuchelewa kurudi nyumbani...
Pombe haina adabu, inatakiwa control kubwa mno, kwa mwanamke mwanandoa mlevi aisee ni balaa tupu.Nina swali!
Ni sawa kwa mwanamke alieolewa kunywa pombe, kulewa na kuchelewa kurudi nyumban.
Baadaye unamwambia mhudumu kaa hapa, umekula? unakunywa nini? π π πRaha ya pombe unaenda kunywa ukiwa na furaha zako, sio unaenda kunywa ili ktpunguza stress...
Wacha we!! Kwamba kunywa pombe ni jambo baya hivyo wanaume ndio mnastahili mambo mabaya tu!!!Mwanamke hata kama hajaolewa kunywa pombe sio sawa kabisa. Kifupi mwanamke hatakiwi anywe pombe kabisa. .