Mwanamke ambaye hujawahi kumuona akituma picha, mwambie atume ambayo haija-editiwa usije kujuta baadaye

Hahahaa naona umepigwa na kitu kizito kwa wanawale Weusi..Lakin wanasema Black is beautiful 🤣🤣🤣
 
Dawa ni muonane live tu, hiyo video sijui photos zote ni ubatili mtupu. Ila msituseme sana jamani wenye matunusi [emoji23][emoji23][emoji23] filters ndo zinatusitiri aweeww
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nakuja kukufundisha nawee uwake shougaaangu nani anataka kuonekana michunusi??[emoji23][emoji1783] Thubutuuuu!!
Ndo hapo sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi ukinipigia video call umekwisha.
Kwenye video call naonekana mrembo zaidi hata ya kwenye picha.
Sijui ni camera ya simu yangu, sijui ni namna ninavyoposition camera...
Hadi watu wananiuliza natumiaga app gani kwenye video call.
Nifundisheeee plzz na mie dear, niwauwe kw video call.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wengine mpaka uzime taa ndio uweze kupelekea moto wa jikoni, ile kuchochea kuni tu inabidi uvute picha ya video queen fulani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Neno lao kuu "rangi ya mtumee"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…