Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Kwakweli wanatuonea!!Wanatuonea sie wenye surangumu tunaroho nzuri sana jamani tunakosaje vyote sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli wanatuonea!!Wanatuonea sie wenye surangumu tunaroho nzuri sana jamani tunakosaje vyote sasa
NakaziaEendiwoooooooo mkuu video sijui picha ni ubatili mtupu kutana na mtu face to face kwanza!
Basi kwenye DP muweke picha ya moyoUzuri wa mtu ni moyo na nafsi ivo vingine mbwembwe tu
Hebu jaribu tuone kwanza😎😎!Basi kwenye DP muweke picha ya moyo
Mwanamke ni kalio, tabia tutapambana[emoji3][emoji3][emoji3] mwanamke sio urembo ni tabia
weka moyo hapo kudhibitisha kauli yako.Hebu jaribu tuone kwanza😎😎!
🙌🙌 !weka moyo hapo kudhibitisha kauli yako.
Mmmhh🤔🤔🤔🤔zikiwa kavu zinapuputika, akiondoka lazima ukung'ute foronya kutoa magaga.
hakika[emoji3][emoji3][emoji3] mwanamke sio urembo ni tabia
Hahahaa naona umepigwa na kitu kizito kwa wanawale Weusi..Lakin wanasema Black is beautiful 🤣🤣🤣Wanawake hasa Hawa weusi hawajiamini wanatumia filter ili kuibia watu na kuwaachia majuto makubwa.
Hii imetokea Jana rafiki yangu kayakanyaga baada ya kumkimbia Mwanamke wake wa mtandaoni waliyekutana Facebook, hii imesababishwa na kakutana na sampuli mbili tofauti.
Hawa Wanawake weusi hawajitambui na hawana uhuru wa Fikra na hawajikubali na wanaingiza watu king sana.
This is stolen Generation
Ndo hapo sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nakuja kukufundisha nawee uwake shougaaangu nani anataka kuonekana michunusi??[emoji23][emoji1783] Thubutuuuu!!
Nifundisheeee plzz na mie dear, niwauwe kw video call.Mimi ukinipigia video call umekwisha.
Kwenye video call naonekana mrembo zaidi hata ya kwenye picha.
Sijui ni camera ya simu yangu, sijui ni namna ninavyoposition camera...
Hadi watu wananiuliza natumiaga app gani kwenye video call.
Tubuni za vitenge au??Tungebuni tu vazi na sio kukana na kuiga vya jiran ,wanigeria wana mavazi yao ya kitamaduni hata harusi zao utaona,wachina,wahindi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wengine mpaka uzime taa ndio uweze kupelekea moto wa jikoni, ile kuchochea kuni tu inabidi uvute picha ya video queen fulani.
Neno lao kuu "rangi ya mtumee"Wanaume ndio mnasababisha...na wadada wenye akili mbili ndo wanaona bora wajichubue, wee njia nzima wakitembea wawili utasikia cheupuuu cheupeee, hakuna mtu ataita chusiii, akipata mwanamke mweupe utasikia mtoto anawaka rangi ya mtume. Yaan mbaka matako wanaofanya surgery ni kwa sababu ya wanaume,
Ukweli ni kwamba wanaume wengi wanapenda wanawake weupe wachache ndo utasikia wanapenda blacks.