Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi

Kuna masikini yoyote, aliyeoa pisi kali?
 
Hiyo iko hivyo tangu zamani.
 
Kuna masikini yoyote, aliyeoa pisi kali?
Nakwambia kuna watu historically walioa hadi mabinti wa kifalme (tena mabinti wazuri) na sacrifice yao haikuwa uchumi tu bali kutengwa na ukoo mzima....

Kwahio matamanio ni tofauti sana ukisema kwamba kila mtu matamanio yake ni excessive wealthy basi matajiri wangekuwa hawana matamanio au usingepata watu kama Mother Theresa kwenda kuishi na ombaomba (kwake yeye ile kwamba ame-make a difference ndio ultimate goal na sio monetary / material things)
 

Ukweli mtupu huu.
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ

 
Unajua kwa nini Adam alishawishiwa na Eva?
 
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ

View attachment 2945150
Na hawezi kwenda free bila ya kuwa na uhakika wa kipato kutoka sehemu fulani; pia hatoweza kuishi na huyo wa free maisha yake yote, anakuwa naye kwa sababu ana sehemu A ya uhakika wa kuchuma. Lakini kama hana uhakika kwa A hawezi kwenda kwa free.​
 
Unajua kwa nini Adam alishawishiwa na Eva?
Kwa Imani ipi ? Niambie Imani yako ili ni-qoute accordingly.., kuna watu hao Adam na Eva au hata Hawa ni watu wa kusadikika....

Ila tukija kwenye uhalisia opposite attracts na unapopenda sehemu ni rahisi kwa mwenza wako (awe mwanaume au mwanamke) kumshawishi mwingine na anaweza kumshauri vizuri au vibaya na hata ku-take advantage ya mwingine au nikupe mifano ya wanaume waliowalaghai wanawake ?

In short ni kwamba mwanaume au mwanamke anakwenda kwa mwingine kwa kuhitaji / kutamani kitu fulani na hicho kitu sio necessarily pesa / uchumi sababu watu wana-matamanio tofauti na ukishapata tamanio lako fulani sio mwisho utataka mengine (ni journey sio destination)
 
Sasa unatqkq afate nini? Unataka akupende kama ulivyopendwa na wazazi, wako?
Bro vipi, we piga machine pata watoto, kwenye ndoa we pata partnership, mlezi wa, watoto, mpikaji msosi wako, na tendo tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…