GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tayari nimeshabambikiwa sasa ngoja nitafute Panga Lililonolewa vyema niwasake Waliosahaulika Kubambikiwa wakati Washiriki wa Mchezo tulikuwa Watatu.Issue Iko hivi, ikiwa kama kwenye zile siku za hatari alisex nanyi wote. Hapo hatokuwa na ujanja zaidi ya kumbambikia mmoja..inakuwa rahisi kama zile siku alisex na fulani ,hapo ndio atajua.
Cha msingi wanaume kuweni makini na siku za michepuko. Akikuambia anayo ukae chini upige hesabu.
Wanawake wako emotional superior than wanaume.Kumbe Mwanamke anaweza Kutupanga Mimi, adriz na Bujibuji Simba Nyamaume kwa Siku Moja (kama ya leo Ijumaa) na Wote 'tukamkaza" kwa Ratiba aliyotuwekea kutokana na Uhuni wetu, ila Yule atakayempa Mimba (Kibendi) kati yetu atamjua tu na hatokosea.
Ninaombeni Elimu juu ya hili Wadau.
Siyo kweli. Kama kachangsnya mafaili ni ngumu sanaKumbe Mwanamke anaweza Kutupanga Mimi, adriz na Bujibuji Simba Nyamaume kwa Siku Moja (kama ya leo Ijumaa) na Wote 'tukamkaza" kwa Ratiba aliyotuwekea kutokana na Uhuni wetu, ila Yule atakayempa Mimba (Kibendi) kati yetu atamjua tu na hatokosea.
Ninaombeni Elimu juu ya hili Wadau.
Tukutane New Corner Bar Mbezi Beach Weekend hii. Halafu kwanini 'Umeniua' kwa Baamedi wa Kimbulu Mrembo kuliko Wote ili umpate Wewe?Wanawake wako emotional superior than wanaume.
Wanaume tuna mbinu, wanawake wana mitego, unaweza kudhani huyu mwanamke umempata kwa mbinu zako za medani, kumbe umetegwa kifala tu.
Pia mwanamke ameumbwa ku perform multi tasks, ndio maana unakuta huju ananyonyesha mtoto, wakati huohuo anapika, huku akiongea na simu.
Heshima kwako ndugu yangu mpendwa sana Skylar, cacico, Kasie, Evelyn Salt na mwanamke uliyezaliwa ili hela zikufuate ulipo Miss Natafuta
Jitahidi upite nae Mlango wa Kusi usiotakiwa kisha umuache mazima Mkuu sawa? Dawa yao ndiyo hiyo tu hakuna namna.Jan usku naambiwa na mchepuko wangu kabila mzaramo eti mimba imaaribika alfu iliykuwa yangu mm ,nikamuuliza swali la hyo mimba Ina miezi mingapi hakakosa jibu Kisha nikamuuliza Tena ulishakwenda cliniki akajibu hapana Ila akasema ndio alikuwa anajipang kwendaa
Bladfkeni nikakata simu nikalaa zangu kapiga missed call 3 mfulilizo sijapokeaa mshenzi kbsa