Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Huyu jamaa alishawahi kunipokonya kaunta wangu mmoja Salasala. Jamaa limalaya sana hiloTukutane New Corner Bar Mbezi Beach Weekend hii. Halafu kwanini 'Umeniua' kwa Baamedi wa Kimbulu Mrembo kuliko Wote ili umpate Wewe?
Umeona Baamedi wako wa zamani amerejea Sinde Pub Kijiwe chako Tukuka?
Sasa nakuomba Wewe Dili na yule Mmbulu na huyu niachie Mimi kwani ana yale Makalio makubwa ( Inye ) ninayoyapenda na ndiyo Ugonjwa wangu.