Mwanamke anamjua vipi aliyempa mimba ikiwa alitembea na wanaume watatu kwa wakati mmoja?

Aisee......
 
Muhuni ni aliyewapanga , ninyi mtajuana vp labda kama ilikuwa group sex orgy.
 
Kuna mmoja nadhani ni Kenya kama sijakosea alizaa watoto mapacha hao watoto walionekana kila mmoja ana baba yake

Niliisikia hii BBC kama miaka miwili iliyopita
 
Hakuna Kitu kama Hicho... Akili hawana Za Hivyo.

Mwanamke ni Kiumbe Kama Viumbe wengine Unaowaona Wakiwa Heat Period wanavyoangaika. Kwahiyo Mimba Itakayoingia hawezi Jua ni ya Nani Mpka DNA itokeze na Hapo Anaweza Kwenda Tengeneza Kadi 3 za Kliniki
 
Hawezi kumjua aliempa mimba, atafahamu endapo mtoto akizaliwa atafanana na yupi kati ya hao wanaume. Au njia yenye uhakika ni kufanya DNA test.
Si mnasemaga eti bao la Mimba ndiyo linakuwaga tamu sana hadi mnapitiwa na kausingizi kidogo hata ka nusu saa hivi!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…