Mwanamke anamjua vipi aliyempa mimba ikiwa alitembea na wanaume watatu kwa wakati mmoja?

Mimi ninavyojua mbususa inapokea shahawa ya mimba mbao ya me inanatana na maku nyakati zile kama mbwa jike na dume Kwa dakika kadhaa na mwanamke akitunza vybes za kila mmoja mmoja atajua vybez la mimba ni la nani amini. Naijua hii
 
Kama ilikuwa ni siku ya hatari wa kwanza kummwagia sikuhiyo ndo Mwenye mtoto
Inategemea na ubora na uimara wa shahawa zake na kama pia shahawa zina uhai, mfano mgumba hata awe wa kwanza na alale nayo wiki no mimba. Mla karanga, Nazi, mbegu maboga, Dafu, juice tende na mwenye shibe kati yao ndio amepachika nimejiongeza na outliers tu
 
Mwanamke akikwambia ana mimba yako kitu cha kwanza muite geto halafu chukua simu yake uone wenzako wengine walio ambiwa hiyo mimba ni yake mtajikuta mpo kama watano.
 
Taikon umebadilisha avatar
 
Bujibuji Simba Nyamaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…