Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Amemuimbia mchumba wa nani mkuu wengine hatuko instagram?anyway unapoint hata mambo ya kuzoeana na mwanamke wa mtu ni umama et shem nimekumis .mwingine live alinambia bro una pisi kali nilimkata jicho kama la idd amini dada akatuliaIt’s a culture issue (watanzania tuna matatizo), kusema unampenda mwanamke wa mwenzako nchi za wenzetu it’s a very disrespectful situation.
Ni kwa sababu tunaishi Tanzania tu; nchi nyingine utaumizwa.
Halafu kuna watu wanasifia ujinga wa Harmonize; huwezi kumuimbia mapenzi mchumba wa mtu mwingine nchi za wenzetu bila ya kupata migogoro.
Hawa waluga luga Serikali imewalea sana mpaka kujiona watu muhimu.
Kweli Dar kuna mambo kwelikweli, kesho nakuja huko kutokea Newala...nikifika nisikose kufika naeneo gani huko Dar ambapo nitapata vionjo vya jiji?Kwa sasa mjini daslam na viunga vyake trending story ni Hamisa Mobeto na Mpenziwe mpya kijana mjasiriamali na tajiri raia wa Ufaransa aitwaye Kevin Sowax kama sijakosea jina la baba...sasaa penzi ni la moto uji unaochemka ukasome..so wana matukio mengi mjini hapo daslam mfano wameenda kutoa msaada muhimbili takribani kiasi cha fedha kisichopungua milioni 16 hivii...hayo tuyaache
Sasa kijana wa hovyo Harmonise kaona Hamisa ana trend kuliko yy akaamua ajisweke na yy hapo ili atrend kwanza alianza kwa kuweka picha ya Hamisa kama Profile picture yake kwenye Simu yake...then haijatosha ametunga wimbo wa I want to be your side Nigga kwa Hamisa wimbo ambao alirusha kionjo chake kwny instagram page yake hukoo...
Sasa wadau wamemshukia kuanzia dada wa Taifa Mange na kumpa makavu live kuwa aache shobo za kijinga..mtu ana mpenzi wake kabisa halafu analeta ufala kama huo..
Sio Mange tuu watu kibao wamemponda..yani wamekerekwa na hicho kitendo...
Mmakonde ni kama litoto fulani hivi anataka kumuharibia mwenzie... soooo Hamisa kam unfollow Harmo...
Hyo ndo habari kwa ufupi.
Mimi sipo Daslam ila ya huko hayanipiti....hhahahahKweli Dar kuna mambo kwelikweli, kesho nakuja huko kutokea Newala...nikifika nisikose kufika naeneo gani huko Dar ambapo nitapata vionjo vya jiji?
unaye muuliza unakuta yupo chamwino😕Kweli Dar kuna mambo kwelikweli, kesho nakuja huko kutokea Newala...nikifika nisikose kufika naeneo gani huko Dar ambapo nitapata vionjo vya jiji?
nimeotea kumbe🤣Mimi sipo Daslam ila ya huko hayanipiti....hhahahah
So whaaaat???unaye muuliza unakuta yupo chamwino😕
dada umetisha umetoa story in brief hadi mimi niliyekuwa sina hii habari nmeipata na kuielewaKwa sasa mjini daslam na viunga vyake trending story ni Hamisa Mobeto na Mpenziwe mpya kijana mjasiriamali na tajiri raia wa Ufaransa aitwaye Kevin Sowax kama sijakosea jina la baba...sasaa penzi ni la moto uji unaochemka ukasome..so wana matukio mengi mjini hapo daslam mfano wameenda kutoa msaada muhimbili takribani kiasi cha fedha kisichopungua milioni 16 hivii...hayo tuyaache
Sasa kijana wa hovyo Harmonise kaona Hamisa ana trend kuliko yy akaamua ajisweke na yy hapo ili atrend kwanza alianza kwa kuweka picha ya Hamisa kama Profile picture yake kwenye Simu yake...then haijatosha ametunga wimbo wa I want to be your side Nigga kwa Hamisa wimbo ambao alirusha kionjo chake kwny instagram page yake hukoo...
Sasa wadau wamemshukia kuanzia dada wa Taifa Mange na kumpa makavu live kuwa aache shobo za kijinga..mtu ana mpenzi wake kabisa halafu analeta ufala kama huo..
Sio Mange tuu watu kibao wamemponda..yani wamekerekwa na hicho kitendo...
Mmakonde ni kama litoto fulani hivi anataka kumuharibia mwenzie... soooo Hamisa kam unfollow Harmo...
Hyo ndo habari kwa ufupi.
Facts.Amemuimbia mchumba wa nani mkuu wengine hatuko instagram?anyway unapoint hata mambo ya kuzoeana na mwanamke wa mtu ni umama et shem nimekumis .mwingine live alinambia bro una pisi kali nilimkata jicho kama la idd amini dada akatulia
[emoji2956]Kweli anaboa mnoo..ni upumbavu wa kiwango cha reli...
Shule shule shule...Kwa sasa mjini daslam na viunga vyake trending story ni Hamisa Mobeto na Mpenziwe mpya kijana mjasiriamali na tajiri raia wa Ufaransa aitwaye Kevin Sowax kama sijakosea jina la baba...sasaa penzi ni la moto uji unaochemka ukasome..so wana matukio mengi mjini hapo daslam mfano wameenda kutoa msaada muhimbili takribani kiasi cha fedha kisichopungua milioni 16 hivii...hayo tuyaache
Sasa kijana wa hovyo Harmonise kaona Hamisa ana trend kuliko yy akaamua ajisweke na yy hapo ili atrend kwanza alianza kwa kuweka picha ya Hamisa kama Profile picture yake kwenye Simu yake...then haijatosha ametunga wimbo wa I want to be your side Nigga kwa Hamisa wimbo ambao alirusha kionjo chake kwny instagram page yake hukoo...
Sasa wadau wamemshukia kuanzia dada wa Taifa Mange na kumpa makavu live kuwa aache shobo za kijinga..mtu ana mpenzi wake kabisa halafu analeta ufala kama huo..
Sio Mange tuu watu kibao wamemponda..yani wamekerekwa na hicho kitendo...
Mmakonde ni kama litoto fulani hivi anataka kumuharibia mwenzie... soooo Hamisa kam unfollow Harmo...
Hyo ndo habari kwa ufupi.
[emoji1787][emoji1787]"Jijini Dar salama, maisha ni tight sana, yaani kama chupi vile check yanavyo tubana" Mchizi Mox