Mwanamke anatangaza mapenzi yake hadharani; wewe nani kusema hadharani unampenda zaidi?

Mwanamke anatangaza mapenzi yake hadharani; wewe nani kusema hadharani unampenda zaidi?

Kweli Dar kuna mambo kwelikweli, kesho nakuja huko kutokea Newala...nikifika nisikose kufika naeneo gani huko Dar ambapo nitapata vionjo vya jiji?
Mazense, Tandale kwa Bibi Nyau, Buza na River Side maeneo ya sheli ya Gudo hasa usiku uta enjoy sana
 
Wabongo Kwa Akili kama punje za Mchele,huyo Hamisa na Hamonaizi wote ni wapenda kiki za kipuuzi na mastermind wa kiki zao ni mwijaku,elewa tu bongo msanii akikwambia ni usiku Toka nje uangalie
 
Kwa sasa mjini daslam na viunga vyake trending story ni Hamisa Mobeto na Mpenziwe mpya kijana mjasiriamali na tajiri raia wa Ufaransa aitwaye Kevin Sowax kama sijakosea jina la baba...sasaa penzi ni la moto uji unaochemka ukasome..so wana matukio mengi mjini hapo daslam mfano wameenda kutoa msaada muhimbili takribani kiasi cha fedha kisichopungua milioni 16 hivii...hayo tuyaache

Sasa kijana wa hovyo Harmonise kaona Hamisa ana trend kuliko yy akaamua ajisweke na yy hapo ili atrend kwanza alianza kwa kuweka picha ya Hamisa kama Profile picture yake kwenye Simu yake...then haijatosha ametunga wimbo wa I want to be your side Nigga kwa Hamisa wimbo ambao alirusha kionjo chake kwny instagram page yake hukoo...

Sasa wadau wamemshukia kuanzia dada wa Taifa Mange na kumpa makavu live kuwa aache shobo za kijinga..mtu ana mpenzi wake kabisa halafu analeta ufala kama huo..
Sio Mange tuu watu kibao wamemponda..yani wamekerekwa na hicho kitendo...

Mmakonde ni kama litoto fulani hivi anataka kumuharibia mwenzie... soooo Hamisa kam unfollow Harmo...
Hyo ndo habari kwa ufupi.
Kwani huyo hamida lazima mahusiano yake yawe public au Mimi ndio mshamba
 
It’s a culture issue (watanzania tuna matatizo), kusema unampenda mwanamke wa mwenzako nchi za wenzetu it’s a very disrespectful situation.

Ni kwa sababu tunaishi Tanzania tu; nchi nyingine utaumizwa.

Halafu kuna watu wanasifia ujinga wa Harmonize; huwezi kumuimbia mapenzi mchumba wa mtu mwingine nchi za wenzetu bila ya kupata migogoro.

Hawa waluga luga Serikali imewalea sana mpaka kujiona watu muhimu.
Harmonize ndo nani na anafanya shughuli gani?
 
Kweli anaboa mnoo..ni upumbavu wa kiwango cha reli...
Dah! Kama mambo yenyewe ndiyo haya, basi na mimi bora niahirishe tu hili zoezi langu. Nilikuwa najifua studio za Wagosi wa Kaya huku Tanga, kwa lengo la kukutungia wimbo eti!
 
Dah! Kama mambo yenyewe ndiyo haya, basi na mimi bora niahirishe tu hili zoezi langu. Nilikuwa najifua studio za Wagosi wa Kaya huku Tanga, kwa lengo la kukutungia wimbo eti!
Yani nimechekaaaa mnoo...mtani ungeniona meno yotr nje..japo mnatusemaaaaaaaa kama tumepigwa bwana..
 
Back
Top Bottom