Mwanamke anatangaza mapenzi yake hadharani; wewe nani kusema hadharani unampenda zaidi?

Kweli Dar kuna mambo kwelikweli, kesho nakuja huko kutokea Newala...nikifika nisikose kufika naeneo gani huko Dar ambapo nitapata vionjo vya jiji?
....vianzie safarini kwa kuwa na "korosho" zako ulizopakaa "nipa" kama inavyowekwa "icing sugar" juu ya "cakes"...kidogokidogo unajitafunia....ukifika pale Mbagala R3 nakuja kukupokea tukale bata mlimani city na beach kidimbwi.....

Karibu wanzuki [emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hahah ahsante sana reporter wetu, umetisha sana.
 
Harmonize moja la bumunda la hovyo hovyo sana.
Hii ilijionyesha enzi anamlilia Kajala hadi mbele ya rais eti...baby take me back!!!!
 
Sasa mtoa mada ali fail wapi kutuletea taarifa kama hii?[emoji848]

Turudi kwenye mada;harmo atakua na shida sana ya kiki
 
Sisi wengine tunathamini sana kuwa na marafiki mambo ya kuzoeana na wenzi wao big NoNo No
 
Amemuimbia mchumba wa nani mkuu wengine hatuko instagram?anyway unapoint hata mambo ya kuzoeana na mwanamke wa mtu ni umama et shem nimekumis .mwingine live alinambia bro una pisi kali nilimkata jicho kama la idd amini dada akatulia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa harmo nae wa kumuwazia serious? Hamissa nae kwan kwa Kelvin huyo kwamba atamind? Mmmh

Aache kujistukia Kelvin ni wakee, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Itabidi nikutafute nikifika hapo mlimani city, make nasikia mambo ya huko kidimbwi na kitambaa cheupe sinza ni moto sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa harmo nae wa kumuwazia serious? Hamissa nae kwan kwa Kelvin huyo kwamba atamind? Mmmh

Aache kujistukia Kelvin ni wakee, [emoji23][emoji23][emoji23]
Waja ndo wanashtuka maana penzi la Hamisa ni kama penzi lao...
 
Amemuimbia mchumba wa nani mkuu wengine hatuko instagram?anyway unapoint hata mambo ya kuzoeana na mwanamke wa mtu ni umama et shem nimekumis .mwingine live alinambia bro una pisi kali nilimkata jicho kama la idd amini dada akatulia

Mkuu u make my day
Aisee nimecheka sana peke yangu

Huyo jamaa kweli kavu
Eti una pisi kali
 
Bangi ni kitu mbaya kama huiwezi. Alafu mazoea na wapenzi wa watu sio mazuri. Kiufupi hana jipya anatapatapa ili na yeye awepo kwenye habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…