Mwanamke anatangaza mapenzi yake hadharani; wewe nani kusema hadharani unampenda zaidi?

Duh kumbe! Kwa style hyo jamaa konde boy kweli anafeli
 
Shukrani mdada. Dah yaani umeeleza vizuri mwanzo tulikua tunajua mtoa mada kavurugwa
 
Umeeleza vizuri ila mtafungwa, konde kazingua
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] missa atulie, ila mie napenda wafike mbali, ili bibi cheka aone wivuu mfyuu zake.

Sijui kibenteni wake kamficha wapi, hata hatumsikii. Woiiiih
Hahaa wamepoa kama uji
 
Je huko daslama watu mnapataje muda wakufatilia Maisha ya watu
 
Kweli Dar kuna mambo kwelikweli, kesho nakuja huko kutokea Newala...nikifika nisikose kufika naeneo gani huko Dar ambapo nitapata vionjo vya jiji?
Ulizia mtaa wa Instagram pale kwa Mtogole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…