Eng Nyahucho
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 688
- 1,152
Mazense, Tandale kwa Bibi Nyau, Buza na River Side maeneo ya sheli ya Gudo hasa usiku uta enjoy sanaKweli Dar kuna mambo kwelikweli, kesho nakuja huko kutokea Newala...nikifika nisikose kufika naeneo gani huko Dar ambapo nitapata vionjo vya jiji?
Kwani huyo hamida lazima mahusiano yake yawe public au Mimi ndio mshambaKwa sasa mjini daslam na viunga vyake trending story ni Hamisa Mobeto na Mpenziwe mpya kijana mjasiriamali na tajiri raia wa Ufaransa aitwaye Kevin Sowax kama sijakosea jina la baba...sasaa penzi ni la moto uji unaochemka ukasome..so wana matukio mengi mjini hapo daslam mfano wameenda kutoa msaada muhimbili takribani kiasi cha fedha kisichopungua milioni 16 hivii...hayo tuyaache
Sasa kijana wa hovyo Harmonise kaona Hamisa ana trend kuliko yy akaamua ajisweke na yy hapo ili atrend kwanza alianza kwa kuweka picha ya Hamisa kama Profile picture yake kwenye Simu yake...then haijatosha ametunga wimbo wa I want to be your side Nigga kwa Hamisa wimbo ambao alirusha kionjo chake kwny instagram page yake hukoo...
Sasa wadau wamemshukia kuanzia dada wa Taifa Mange na kumpa makavu live kuwa aache shobo za kijinga..mtu ana mpenzi wake kabisa halafu analeta ufala kama huo..
Sio Mange tuu watu kibao wamemponda..yani wamekerekwa na hicho kitendo...
Mmakonde ni kama litoto fulani hivi anataka kumuharibia mwenzie... soooo Hamisa kam unfollow Harmo...
Hyo ndo habari kwa ufupi.
Harmonize ndo nani na anafanya shughuli gani?It’s a culture issue (watanzania tuna matatizo), kusema unampenda mwanamke wa mwenzako nchi za wenzetu it’s a very disrespectful situation.
Ni kwa sababu tunaishi Tanzania tu; nchi nyingine utaumizwa.
Halafu kuna watu wanasifia ujinga wa Harmonize; huwezi kumuimbia mapenzi mchumba wa mtu mwingine nchi za wenzetu bila ya kupata migogoro.
Hawa waluga luga Serikali imewalea sana mpaka kujiona watu muhimu.
Dah! Kama mambo yenyewe ndiyo haya, basi na mimi bora niahirishe tu hili zoezi langu. Nilikuwa najifua studio za Wagosi wa Kaya huku Tanga, kwa lengo la kukutungia wimbo eti!Kweli anaboa mnoo..ni upumbavu wa kiwango cha reli...
Yani nimechekaaaa mnoo...mtani ungeniona meno yotr nje..japo mnatusemaaaaaaaa kama tumepigwa bwana..Dah! Kama mambo yenyewe ndiyo haya, basi na mimi bora niahirishe tu hili zoezi langu. Nilikuwa najifua studio za Wagosi wa Kaya huku Tanga, kwa lengo la kukutungia wimbo eti!
Kibenten wake sijui kapotelea wapiii?Hahaa wamepoa kama uji