Oya wewe mpiga nyeto ropoka taratibuVaa ww badala yake
Ni mada km mada zengine ndio maana JF ikaweka jukwaa la MMU sio mafala, wewe jibu swaliAsubuhi yote hii mtu umeamkia kuwaza mapenzi.
Waafrika tuna safari ndefu sana
Ni mind yako tu. Umeshazoesha ubongo wako. Hii ndiyo hatari ya kupenda kubadilisha wanawake mara kwa mara kwa sababu ya kukidhi tamaa za kimwili. Ni lazima unajenga tendency au uraibu wa wanawake wa aina fulani. Hatari ni kwamba kama una mke, unaweza kuona kama mke wako hakidhi hamu zako vizuri na utazidi kuchepuka ili kufidia kile unachokikosa.Oya wewe mpiga nyeto ropoka taratibu
Mbuzi sio binadamu elewa nazungumzia binadamu sio wanyama, unaelewa vizuri lakini au wewe ndio zako unawafanya mbuzi mambo fulani fulani mpaka leo?Hisia na mapenzi kwa mtu ina uwanda mpana sana. Kina mtu ana preferences zake. Binafsi mwanamke akiwa smart kichwani, confidence na focused huwa nadata naye.
Sasa wewe unayependa shanga, vipi mbuzi akivalishwa shanga utamtamani?
Issue sio mkoa, elewa nilichozungumzia vizuri kutokana na ugunduzi wangu huru nimegundua wanawake wasiovaa eeh ni too demanding na wana fake sana kwenye 6×6, mizunguo ni mingi, I hate this.Hamia mikoa ya kusini kule mabinti wanarithishwa shanga na mabibi zao.
Sio uraibu mkuu ni ugunduzi, ukitaka kugundua kitu inabidi uingie field ndio uje na ugunduzi, sasa mimi nimegundua hilo ndio maana nikawauliza nyinyi bado hamjagunduaNi mind yako tu. Umeshazoesha ubongo wako. Hii ndiyo hatari ya kupenda kubadilisha wanawake mara kwa mara kwa sababu ya kukidhi tamaa za kimwili. Ni lazima unajenga tendency au uraibu wa wanawake wa aina fulani. Hatari ni kwamba kama una mke, unaweza kuona kama mke wako hakidhi hamu zako vizuri na utazidi kuchepuka ili kufidia kile unachokikosa.
Hapa hakuna ujinga ni uhalisia nimeuweka mezani km hujakutana nao ni wewe mkuu ila mimi nimegundua usiniulize umegundua nini? Nimeshakielezea
Siku ukitamani na wewe kuvaa hizo shanga kiunoni urudi tena kuja kutuomba ushauri. Binafsi kwa leo sina cha kukushauri.Waakuu, rejea kichwa hicho km kinavyojieleza hapo juu, namaanisha kichwa cha habari. Siku za hivi karibuni nikikutana na Mwanamke ambae havai Shanga haanipi amsha amsha kabisa.
Why? Wanawake wanaovaa Shanga wana vitu via pekee kuliko wasiovaa, nina ushahidi wa kutosha. Sasa imekua nikikutana na ambae kiunoni hana kibwebwe sipati amsha amsha kabisa kwanza stimu zinakata. Why? Wanawake wanaovaa Shanga sio wasumbufu kabisa, yeah I am telling you.
Hio ni kwangu mimi sio kwako na hio ni kwa mujibu wa ugunduzi wangu binafsi nilioufanya muda mrefu. Mwanamke asievaa Shanga in bed ni fake ana pretend sana hayupo real. Maneno ya uongo uongo anaongea na mara nyingi utakuta hapendi hata kupigwa mashine ila anapenda umpe hela balaa. I hate this.
Sasa nimefika hatua nikikutana na Mwanamke havai Shanga kuna ile test naikosa, mvivu, hana amsha amsha, anakatisha gemu katikati eti apumzike oya chuma ipo mnara imewaka sababu imekuunguza unasema subiri nipumzike? Wanawake wanaovaa Shanga hawanaga mambo ya kijingajinga ya kivivuvivu. Akikuwekea unapump mpaka unapump tena. Nowadays, red flag #1 nikimkuta hajavaa Shanga najua tu hapa hamna kitu hana hamsha hamsha zile. Mdomo mdomo kuongea ongea tu domo linaongea km redio imeemeza cassette. I hate this.
Sasa najiuliza ni mimi ndio ninashida katika hilo au kuna sababu nyingine, aisee salute wanawake wote wanaovaa Shanga kuna kitu wamefunzwa kuhusu jinsi kum-handle mwanaume na wanajua kukitumia.
Sasa hawa wasiovaa Shanga wana matatizo gani? Au shida ni mimi na moto wangu maana nikiuwasha MOTOCHINI haakuna anaeuzima sasa hawa wasiovaa shanga gemu ikiisha huuliza maswali ya kijingajinga eti wewe Mwanajeshi? Unaniulizaje maswali ya kijinga? Mwanajeshi sababu nimekupump sana sasa kupump sana kuna uhusiano gani na wanajeshi?
Ni hivyo tu wakuu niambieni shida ni nini hapo?
Nawasalisha mada mezani.