Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

Kwa sheria ya tanzania mwanamke anaweza kumbaka mwanamke mwenzake tuu kwa mujibu wa kifungu cha 131A cha kanuni ya adhabu ( penal code) kikisomwa pamoja na kifungu cha 22 cha kanuni ya adhabu.
ndo maana naipenda tz ubakaji free zone
 
Weeeeh!! Kumbe akina chief mko wengi, basi nitakubaka tena.
Ila nyege zenu za kike ni hatari sana...... Mtu unabakwa hivi hivi halafu huwezi kusema....... btw tukio lilikuja na faida zake..... KE akiwa high naweza kutambua kwa kiasi fulani,..... Na malipizi nafanyia hapo hapo.
 
Nadhani kama walivyo sema wengine inawezekana kabisa. Si kila wakati mwanaume anahitaji hisia, kwa mfano jichunguze unapoamka asubuhi kama ni mwanaume.

Pia inaweza ikatokana na involuntary actions ambazo ni man made. Mfano mwanaume anaweza wekewa madawa ya kulevya na kisha kupitiwa na usingizi lakini wakati huo huo akapewa madawa ya kuongeza nguvu kama viagra.

So kwa mtazamo ni jambo linawezekana kabisa mkuu. Na definition ya kubaka ni kufanya mapenzi na mtu bila ridhaa yake.
 
Ila nyege zenu za kike ni hatari sana...... Mtu unabakwa hivi hivi halafu huwezi kusema....... btw tukio lilikuja na faida zake..... KE akiwa high naweza kutambua kwa kiasi fulani,..... Na malipizi nafanyia hapo hapo.
Mmmmh!! Hivi kweli huwa mnabakwa au mnatusingizia tu jamani!!
 
Mmmmh!! Hivi kweli huwa mnabakwa au mnatusingizia tu jamani!!
Ndo maana nikasema wacha watu wafe na tai zao shingoni..... Ukikutwa unaeleza shtaka kama hilo watu watakushangaa balaa.
 
Ndo maana nikasema wacha watu wafe na tai zao shingoni..... Ukikutwa unaeleza shtaka kama hilo watu watakushangaa balaa.
I see!!

Sasa mbona huwa hamshtaki? Au mnafurahia?
 
Nimekumbuka kuna uzi uliletwa humu uliokuwa unahusiana na utafiti unaoonyesha kuwa wanawake wengi walio ndoani wanabakwa na waume zao.
 
Kwahiyo mwanamke akimbaka mwanaume hakuna kesi?
Neno lenyewe ama kosa la " ubakaji' haliwezekaniki kutedwa na mwanamke dhidi ya mwanaume kisheria kwa sababu sheria yetu haijalifanya kuwa kosa , ni kitedo kibaya sana kwenye jamii ni immoral na kisheria makosa yote ya jinai ni immoral lakini sii immoral zote ni makosa ya jinai.
 
Afadhali,basi acha tuwabake tu maana hamna kesi.
 
La kwanza?
 
Kumbe urijali wa mwanamke unapimwa kwa ubakaji!![emoji134] [emoji134]
Basi mimi sio rijali.
Siyo lazima awe mbakaji lakini Si unajua,...... Mtawafahamu kwa matendo yao......
 
Mwanamke anawezaje kumbaka mwanaume?

Nyenzo ya mwanaume itafanyaje kazi katika mazingira kama hayo ya kubakwa?
 
mwanamke akifanya mapenzi na kijana aliye na umri wa chini ya miaka 18, tendo hilo litaitwa ni ubakaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…