Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

Mkuu utakuja kubadili tu gia angani, wananenepaga hao!

Nami nilianza nae kwa sera kama hizo, kwa kumfanya pambo la nyumba, kimbao mbao kama miss enzi hizo.

'Malezi ya upendeleo' yalivyomkolea kwa sasa hata mlangoni ni shida kupita na hata tulivyokumbuka kuanza kumfanyia mazoezi kwaajili ya kupunguza unene, tunashindwa hata pa kuanzia.

Nilichokuja kugundua ni kuwa, kufanya kazi ya kutoa jasho kwa mwanamke ni muhimu sana kwa ajili ya kulinda afya na mwili.

Utulivu wa akili mwanamke anaupata kwa upendo na uaminifu pekee.

Lakini kumfuga kwa kumzuia kazi za kufanya, mziki wa kunenepewa utajashindwa kuucheza siku moja.
 
Badala ya sperms zina toka damu adi ana ishiwa damu na kufa



Ayo ni mawazo yangu ya K vant [emoji482]
Eid el fitri 😂 😂😂😂
Uchambuzi wa kina.

Everyday is Saturday................................😎
 
Sawa Mkuu lakini silazima silaha iwe imekoki!! kama imetepeta itasonga mbele kweli!!!
 
Ukishaelewa tafsiri ya neno ubakaji ndio utajua kuwa kumbe hata wewe umeshawahi kubakwa mara kadhaa na mkeo Au Mwanamke wako tu.Kwa kifupi ni hivi ubakaji ni tendo la ngono la kulazimishwa kufanya bila kuridhia yaani mkeo akikulazimisha kufanya na wewe hujisikii huyo kakubaka tu.
 
Mwanamke labda atembee na mtoto alie chin ya miaka 18 ndo atafunguliwe kesi ya unyanyasaji wa kijinsia, ila juu ya hapo anaweza akakubaka na akakushinda mahakamani
Du sheria ina vipengele vingi na usidhani ni rahisi hivyo. Neno unyanyasaji wa kijinsia ni neno pana na halihushi tendo la sex tu. Hata akikuvizia umelala akakushika sehemu za siri bila ridhaa yako ni unyanyasaji.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani hawa wanawake sijui tuwafanyaje sasa
 
Ni ngumu kuamini ila ndo ilivyonitokea, siwezi danganya. Na alinivizia hivyo zaidi ya mara moja. Nilimuambia brother nae hakuamini akasema namsingizia huyo mwanamke na kweli nilikuwa simpendi toka moyoni hadi leo simpendi ila ananing'ang'ania balaa!
Usilale kizembe hivyo tena.
 
Du sheria ina vipengele vingi na usidhani ni rahisi hivyo. Neno unyanyasaji wa kijinsia ni neno pana na halihushi tendo la sex tu. Hata akikuvizia umelala akakushika sehemu za siri bila ridhaa yako ni unyanyasaji.
Sawa boss
 
Nadhani tafsiri ya kubakwa ni pana sana.

Zamani kuna mtalii wa kike alimkuta mbeba mabegi wa camp akiwa kifua wazi katika mazungumzo wakafanya ngono. Mzungu alivyorudi kwao akaishtaki kampuni kuwa alibakwa kwa kuamshwa hisia zake za ngono bila ridhaa yake na jamaa akafukuzwa kazi.
 
Unene au wembamba ni asili ya mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inakuaje sasa wakati wanaolewa wanakuwa modo. Wakifika tu ndani wanaanza kufutuka?

Alafu kadri anavyonenepa na uvivu nao vinaenda sambaba! Yani kukaa mwezi hajafua au kufanya usafi wa vyooni na mazingira yanayomzunguka haoni shida.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
yaani mkeo akikulazimisha kufanya na wewe hujisikii huyo kakubaka tu.
Ili kufanya tendo lazima uume usimame, na ukisimama basi nawe umeridhia kama hujaridhia uume utabaki umenyauka na huyo mwanamke hataweza kuingiza
 
Haiwezi kuingia kama haijasimama,ikisimama maanake ametamani na amependa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…