VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
na je,kama mwanamke kakurubuni kwa kuchezea sehemu zake nawe uko nae coz sexual ni hisia,then ukashawishika out mind,apo law in define vip?
Issue ni kwamba umekubali lakini sheria inavyosema hata kama mtu amekubali mwanzo lakini katikati ya tendo akisema sitaki inabidi uache..ukiendelea itakuwa rape..., (lakini kwa mwanaume huwezi ukasema ulisema sitaki wakati uume wako unasema nataka)