Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

Mimi binafsi niliwahi bakwa! ilikuwa 2001 MBINGA-NKILI mwambao mwa ziwa NYASA....! Sijui niendelee kuelezea?!
 
Its not easy raping a man....hivi kama hampo in a mood does it stand?! Hua mnapenda tu bana! Kwanza cases za mwanaume kubakwa ni very rare....
 
Mimi binafsi niliwahi bakwa! ilikuwa 2001 MBINGA-NKILI mwambao mwa ziwa NYASA....! Sijui niendelee kuelezea?!

usiendelee, toa mchango kwenye mada husika usitake kuanzisha mada ndani ya mada.
 
Its not easy raping a man....hivi kama hampo in a mood does it stand?! Hua mnapenda tu bana! Kwanza cases za mwanaume kubakwa ni very rare....

huo ni mtazamo wako tu!
 
Yes, men can be raped by women. Rape is classified as a victim being unable or unwilling to consent to sex. A man can be raped if he is:

1)
impaired by drugs or alcohol
2) under the age of consent (16-18)
3) physically handicapped or limited
4) physically forced or coerced by a woman

The last one is the hardest for most people to believe, but it does happen, because most people believe that if a man did not want to have intercourse that he would not be sexually aroused. This simply is not true. A man can be erect due to nerves, drugs, or other means and a [FONT=arial, helvetica, clean, sans-serif]perpetrator can take advantage of that.
[/FONT]
Though statistically more perpetrators are male (whether the vics are male or female), there are cases that classify as male rape by a female perpetrator. Though many of the men have been very reluctant to press charges or seek services because of embarrassment due to the stereotype that men can not be raped.
 
Yes, men can be raped by women. Rape is classified as a victim being unable or unwilling to consent to sex. A man can be raped if he is:

1)
impaired by drugs or alcohol
2) under the age of consent (16-18)
3) physically handicapped or limited
4) physically forced or coerced by a woman

The last one is the hardest for most people to believe, but it does happen, because most people believe that if a man did not want to have intercourse that he would not be sexually aroused. This simply is not true. A man can be erect due to nerves, drugs, or other means and a perpetrator can take advantage of that.

Though statistically more perpetrators are male (whether the vics are male or female), there are cases that classify as male rape by a female perpetrator. Though many of the men have been very reluctant to press charges or seek services because of embarrassment due to the stereotype that men can not be raped.
nitakukaba wewe
 
Kubakwa mbele si rahisi,na mtu akisema hivyo ni alitaka mwenyewe.
Kubakwa nyuma inawezekana kwa kutumia nguvu.
 
Hata nami siamini kama kuna mwanaume anayebakwa!

Kidume kikiwa chini ya miaka 18 hata kama kimetaka chenyewe kufanya na demu mwenye miaka zaidi ya 18 basi kidume hicho kimebakwa.
Kidume kikipewa ulabu/drugs nk kinaweza kupoteza na demu akatumia mwanya huo kufanikisha zoezi zima la rape.
Kidume kinaweza kubananishwa usipo ni do labda nitakufanyia hivi (blackmail) kwa vitisho na demu akatumia mwanya huo kufanikisha zoezi.
Kidume kinaweza kufungwa miguu na mikono ipasavyo kisha demu akatumia mwanya huo kuamsha mtalimbo na zoezi likakamilika
Nk nk nk.
Lakini hii hutokea mara chache na kesi nyingi ni za demu kubaka under age na za kuwekewa kilevi.
Lakini kwa hali ya kawaida tu eti demu haja kufunga wala kukupa kilevi wala kuku blackmail inakua ngumu kuanza kukupiga mitama na kukugaragaza ili kukubaka kama anavyofanyiwa demu
 
Kwani ajabu iko wapi-kuna wanaume wengi tu wamebakwa hata Prophet joseph alibakwa na mke wa firuani lakini hakufanya sex naye-hawa wanawake nyie watazameni tu-wanavituko sana.
 
Mara kadhaa nimesikia kwenye redio na kusoma kwenye magazeti kuwa mwanamke fulani amembaka mtoto wa kiume. Habari za aina hii huwa nazitafakari kwa kina kujaribu kuona practicability yake. Navyofahamu neno KUBAKA linamaanisha mtu kulazimishwa kufanya ngono bila ridhaa yake. Sasa kwa upande wa mwanaume kama kweli amelazimishwa inawezekanaje mtaimbo usimame na shughuli ifanyike na kukamilika bila ridhaa yake!!! Kwa mwanamke, hiyo inawezekana kwamba jamaa anaweza akamwingilia na kumaliza tendo bila yeye kutaka wala kujisikia. Kwa sisi wanaume lazima 'jamaa' aamke na kusimama kabisa ndipo tendo lifanyike. Kwa hiyo, mimi binafsi sidhani kama ni sahihi kusema mwanaume amebakwa.

Zamani niliwahi sikia kuna njemba ilikuwa na demu pale Iringa Girls sasa aliruka ukuta mpaka bwenini kwa demu wake wkt wanapeana vitu mademu wengine wakasikia wakaamka ikabidi wote waaanze kutaka kufanyiziwa na jamaa inasemekana jamaa aliishiwa nguvu kabisa
 
Kubakwa mbele si rahisi,na mtu akisema hivyo ni alitaka mwenyewe.
Kubakwa nyuma inawezekana kwa kutumia nguvu.

Mwanamke atambakaje mwanaume nyuma?
 
Ndugu,

Wanasheria wanasema hivi "...Every principal has its exemption..." Pamoja na kwamba wanasheria wanasema hivyo, sheria za Tanzania zinasema mwanamme hawezi kubakwa kwasababu hakuna kinachoingia (penetration) kwake. "Yeye ndiye anayeingiza!" Tukumbuke kwamba kubaka ni kitendo cha mtu (mwanamme) kumwingilia mtu (mwanamke) pasipo ridhaa yake, na kumwingilia ni pale mzee anapopenyeza kwenye uke na hatua hii haijalishi imepenyeza kiasi gani. Kwa naana hiyo kama hakuna mpenyezo wowote, hiyo haiwezi kuwa kubaka inakuwa ni kujaribu kubaka.

KUBAKA: Kubaka ni kitendo cha kumwingilia mwanamke/msichana pasipo ridhaa yake au kwa ridhaa yake ila mwanamke huyo ni chini ya miaka 18 au ni mwanafunzi (darasa la kwanza - kidato cha sita). Maana yake ni nini? Maana yake ni kwamba ukitembea au ukafanya tendo la ndoa na msichana chini ya miaka 18 au mwanafunzi hata kama amejileta au amekutongoza au amekwambia au amekushawishi mwenyewe unakuwa umebaka:A S 465:
 
Back
Top Bottom