Mwanamke anayechepuka ni hatari kwa uhai wa mume wake kuliko hata wauaji wa kutumia silaha

Unaweza kujitahidi kujua tatizo ni nini mpaka likatokea hilo ili na wewe liwe somo na ikiwezekana kusaidia ndoa isipagaranyike.
Siku zote toka naanza mahusiano lazima nizungumze mambo nisiyoyapenda na yeye aseme yake. Pia tatizo lolote aaniambie, kwangu ni kosa kubwa sana kuchukua maamuzi sababu ya mimi kukukosea bila kuniuliza.

Halafu hawa wanawake bila ubabe hauwezi ishi nao. Jambo la msingi sana ni mawasiliano mazuri.
 
Mkuu hivi mtu unafikia hatua ya kuoa mwanamke mlevi unakuwa sawa kweli upstairs?!
 
Mkuu, hongera sana, kama wewe ni mwana saikolojia, basi kwa Uzi huu Nina kutunuku A+ tena ya distinction
You have spoken what we call "the naked truth "
 
Wote kijijini hapa mmesapoti?hakuna hata mmoja amepinga? Mm inaelekea Kuna ukweli hapa.
 
Mkuu hivi mtu unafikia hatua ya kuoa mwanamke mlevi unakuwa sawa kweli upstairs?!

ulevi ni mwanzo wa kunywa pombe ,kumbuka kuna jamii na watu tofauti mke kwao kunywa pombe c jambo la ajabu ,na pombe ina mwawil mpka matatu ,uzidishwa unapo kua na furaha au majonzi,hapo ndo hatri ujitokeza kama mwanadada yamempta mawili haya pindi mumewe hayupoo,wapi walio chukuana kumbi za stareh au baa kunywa kwao ni kawaida
 

mkuu ubabe unao uzungumzia wewe ni upi,wanawake ni watu wakujielewa wa kieleweshwa ili neno ubabe lina maana gani ,
 
[emoji23] [emoji3] [emoji23] [emoji23] imebd nichek..na akikipata asisahau kutujulisha mana anavyosema kwa bwebwe kua anawapima DNA[emoji23] [emoji23] [emoji23] siku atalia kilio cha karne
Haha...kujipanga ni muhimu. kipindi nikiwa teenager, same story happened to me. ili ku-solve mystery nilimpima dogo nikakuta majibu tofauti. those days hapakuwa na hicho kipimo huko tz. anyway, Mungu ametupa wengine moyo wa chuma, I moved on na ikabaki story. but cheating is for real...
 
Reactions: ovi

Umeandika kwa hasira sana.
 
Unapooa unakabidhi uhai wako kwa mwanamke.Ni juu ya mwanamke kuamua akufanyaje akitaka.
 
Daah..Hii mifano inaweza sababisha mtu afungwe jela. shauri yenu...
 
Dunia hii Ngumu...

Wacha nilale.
 
mkuu ubabe unao uzungumzia wewe ni upi,wanawake ni watu wakujielewa wa kieleweshwa ili neno ubabe lina maana gani ,
Thibitisha hapo unaposema ni watu wa kujielewa. Ubabe ninaozungumzia ni wa kutoa maamuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…