Mwanamke anayejitambua hawezi kuwa Mke wa Pili au mchepuko

Kuwa mke wa pili au wa tatu au mpenzi wa mwanaume ambaye hajamuoa (mchepuko) sidhani kama inatokana na uzuri, usomi au kipato. Hapo ndipo unapokosea.
Kwa uzoefu wangu naona kama kuna zaidi ya hayo, ingawa pia kuhitaji support ya kiuchumi linaweza kuwa moja wapo. Kingine ni mapenzi, wanawake kuna kitu zaidi ya hela wanahitaji kwa mwanaume, hivyo akikipata kwa mwanaume anaweza asiangalie mengine yote.
 
Mchepuko ni NOMINO Tu wala haina cha kufanya na Mambo ya mapenzi, mwanamke ambaye yuko tayari kuwa na Mimi, I mean kama mke wa pili, NAOMBA AJE INBOX, nataka ambaye yuko matured sitaki hizi simblisi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]simbilisi
 
Wanawake wengi nowadays we are educated hii itasaidia kupunguza hayo mahusiano yasiyo na tija.

Yeah!
Yesu alisema Siku ukiujua ukweli utakuwa Huru.
Wanawake ni Moja ya makundi ndàni ya jamii àmbayo yamefungwa kwèñye Mila za uongo na visakale vya kilaghai ili kuwafanya watumwa WA kifikra na kimaumbile.

Mwanamke Huru(mwenye Akili na anayejitambua) hawezi kukubali kuvunja Nyumba ya Mtu au kuwa Mke WA pili huku akijua Mke WA Kwanza hawezi kukubali Jambo Hilo.

Au yeye akijua kuwa kama angekuwa Mke WA Kwanza asingekubali Mke mwenza
 

Mwanamke asipokuwa mjinga na akawa na kipato hawezi kuwa Mke WA pili Wala mchepuko.

Wanawake wôte Duniani wanataka Mwanaume WA Pekeake kama Sisi Wanaume tunavyotaka Mke w pekeetu.

Hayo Mengine NI kujaribu kuwa-label kinyume na ukweli
 
Ok
 
Kwahiyo wale Wanawake waliotakiwa kuolewa na Timu kataa Ndoa ya akina dronedrake unataka waolewe na nani kama sio kuwa Mke wa pili?😜

Sisi kule kwetu, unaweza Kuoa Wanawake hata 10(Kimila lakini) muhimu uweze kuwatunza na kuwahudumia
Huyu jamaa aendelee na watibeli wenzake, sisi tumeamua mke mmoja hajawahi kutosha. Unless unataka usifike 80yrs
 
Futa hili andishi haraka sana. Unataka kutuambia na mama yetu wa Taifa hamnazo?? kwa yeye ni mke pili?? wakati dini yake inaruhusu! Unataka kuniambia na mama zetu sisi ambao tumezaliwa katika familia za Kiafrika zenye wake wengi mama zetu hawajitambui??? Unataka kutumbia na bibi zake Yesu walikuwa hawajitambui??? maana Yesu chain yake katokana na mke wa pili au wa tatu kuanzia kisa cha Yuda na Mkwe wake hadi anazaliwa Peresi hadi kuja kwa Daudi kutoka kwa Naomi hadi Sulemani mwana daudi babu yake na Yesu.

Ondoa hili andishi yakhe!
 
Nabii gàni alioa Wake wengi ukiachana na Yakobo aliyezakaziwa Kwa kudanganywa pàmoja na Muhammad.
Embu nitajie Nabii angalau Watatu waliooa wake wengi.
Nijue kwèli wewe unasema kweli
Daudi, Suleman, babu Ibrahimu, Yuda mwana wa Yakoko na wengineo.
 
View attachment 3070674

Embu angalia hiyo chart alafu nambie jinsia gàni kwèñye Umri WA Kuoa na kuolewa wàpo wengi?
Humu ndani kuna Matowashi wa kuzalisha (Mahanisi), matowashi wa kufanywa (Mapadre) na matowashi wa kujitakia (mashoga). Ongeza na wanaume waliozuiwa kule Ukraine na kwingineko wasiondoke nchi ili wafie vitani. Ukiondoa hao wote utakuja kuelewa kuwa wanaume halisi ni wachache kuliko wanawake.
 
Nimecomment before kusoma 😀😀 nikipata muda nisome kivumbi.

Lakini naunga mkono hoja ya mleta mada! 😂
 
Wengi tu wake wenza. Masuala ya kuolewa na kuoa haina uhusiano na kuwa na elimu na kipato.

Sijawahi kuona tangu kuzaliwa Mwanamke aliyesoma na mwenye kipato akawa Mke WA Pili

Hao walioolewa tuu wakishapata Pesa au Elimu hukimbia Ndoa za mitala.
 

Hata Wanawake wàpo WA aina hiyohiyo Mkûu.

Nimeshafanya utafiti na kugundua hata hao wanaolewa Wake Wenza NI umaskini waô tuu na Wengine ni TAMAA za Mali

Lakini Hakuna Mwanamke Duniani anayetaka ku-share Mwanamke kama ilivyo kwetu Wanaume Hakuna Mwanaume àmbaye atataka Mkewe awe na Mwanaume Mwingine
 
Daudi, Suleman, babu Ibrahimu, Yuda mwana wa Yakoko na wengineo.

Daudi hakuwa Nabii alikuwa Mfalme.
Suleiman hajawahi kuwa Nabii Ila NI Mfalme.
Yuda hakuwa Nabii Urithi aliopewa na Babaake NI fimbi ya kifalme tenà hiyo NI baàda ya Reuben Kaka yake kunyimwa Haki ya Kwanza baàda ya Kulala na bilha suria wa Baba yake(Yakobo).

Yakobo alioa Wake wawili siô Kwa mapenzi yake Bali Kwa kulaghaiwa na Labani mpagani.

Ibrahim hajawahi Kuoa Wake wawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…