Mwanamke anayejitambua hawezi kuwa Mke wa Pili au mchepuko


Makosa ya Watu hata kama ni wakubwa kiasi gani au wanacheo kiasi gani hayageuki kuwa siô Makosa.
 
Ndgu upo sahihi kabisa.

Kuna shangazi yangu yeye ni muislam na dini yao inamruhusu mumewe kuoa mke mwingine, ila yeye katu hakubaliani na hilo.

Sio kisa dini inaruhusu basi uitumie kumkandamiza mwanamke, nae ni binadamu na ana wivu kama wewe mwanaume.

Hili bandiko ni kweli tupu.
 

Hata kwenye hizô Dini kuna Mapokeo àmbayo siô Sheria za Mungu àmbayo yamewekwa Kwa utashi wa Wanadamu.
Kama suala la wake wengi NI utashi wa Watu.
Mahari NI utashi wa Watu

Sio kama Mapokeo yôte NI Mabaya ila mapokeo yenye lengo la kumkandamiza Mtu Fulani au kundi Fulani hayo yanawekwa kwèñye Mila potofu
 
Huyu jamaa aendelee na watibeli wenzake, sisi tumeamua mke mmoja hajawahi kutosha. Unless unataka usifike 80yrs
Mzee mwenzangu umeongea sahihi kabisa

Ukipata Mke kimeo halafu mmoja, huwezi kutoboa kufika walau umri wangu huu 78 😜
 
Ukisoma hata historia za Mitume wetu kuanzia Abraham, Suleiman hata Muhamadi wote walioa wake zaidi ya mmoja

Mimi tayari nina wake 5 sasa, mwakani naongeza Mke wa sita 😜
 
Naona Mjukuu wangu Atoto amekasirika kusikia Babu yake nataka kuongeza Mke wa 6 mwakani 😜
 
Utafia viunoni babu🤣🤣🤣🤣
Kwanza vocha yangu nakudai.
Yaani huo mwendo wa kilomita 1 Kwa Mwaka mara Moja ndiyo unifanye nifie kiunoni Mjukuu, not to that extent 😜

Vocha nilikutumia Jana Mjukuu, kumbe hukuiona
 
Yaani huo mwendo wa kilomita 1 Kwa Mwaka mara Moja ndiyo unifanye nifie kiunoni Mjukuu, not to that extent 😜

Vocha nilikutumia Jana Mjukuu, kumbe hukuiona
Aaah babu wa mchongo kwisha habari yako.

Acha fix we mzee🤣
 
Hii nakupinga mkuu. Kuwa mke wa pili sio laana wala kutokujitambua labda kwako tu hili ndo kutokujitambua!!

Jamii za kifugaji ni kawaida sana na ni Baraka kabisa na mahali hutolewa sawasawa na Wa kwanza.

Pili umeingilia dini za watu wenye Imani ya kuoa Hadi wake4 na nikawaida kabisaa.

Uzungu umekuingia sana usijione uko sawa Kila Wakati muda mwingine unapuyanga vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…