Mwanamke anayejitambua hawezi kuwa Mke wa Pili au mchepuko


Hizi ni hadith tu kama zile za abunuwas
NIKUKUMBUSHE TU KUWA; Wanaume ni wachache kuliko wanawake na sasa hivi waoaji wanazidi kupungua baada ya Nguvu kubwa kuelekezwa kwa wanawake na Ukichanganya na janga la ushoga; waoaji walio makini wanaenda kuwa kama dhahabu

Sasa wewe endelea kujidanganya kuwa, wanawake kwa malaki watazaliwa hadi kufa bila kuwa na mahusiano na wanaume...
 
Takwimu za watu duniani ziko balanced mkuu. Wanaume tunazaliwa wengi kuliko wanawake, lakini wanawake wanaishi zaidi kuliko wanaume. So ukiangalia hizo takwimu by Age utakuta idadi kubwa ya Wazee Ni wanawake na idadi kubwa ya vijana na watoto Ni wanaume.
 
Tunaomba utuambie, wanawake kama binadamu wengine, mahitaji yao ya kimaumbile atawatekelezea nani iwapo hawatachepukiwa?

Wanatakiwa kuolewa
Hiyo ya kusema Wanaume NI wengi kuliko Wanawake alafu takwimu hiyohiyo haijaonyesha weñye umri wa kuoa na kuolewa uwiano waô ukoje bado itabaki kuwa propaganda
 
Mchepuko ni NOMINO Tu wala haina cha kufanya na Mambo ya mapenzi, mwanamke ambaye yuko tayari kuwa na Mimi, I mean kama mke wa pili, NAOMBA AJE INBOX, nataka ambaye yuko matured sitaki hizi simblisi
 
Sheria ya dini inaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja. Muumba wa mbingu na ardhi ameona inafaa halafu anakuja mjinga mmoja kutoka vichakani huko anasema ni kutojitambua
Lazima utaje Ni dini gani ,, 😂kusema dini usifikiri kila mtu Ni dini yako😆
 

Unaweza kuonyesha population pyramid ya uwiano Baina ya idadi Wanaume na Wanawake walioumri wa kuolewa upoje
 
Kuna saa unaandika vitu kama mtoto mdogo. Mwanamke ajitambue ili nini? Wanawake wakisema wajitambue na kutumia akili kama wanaume hakutakuwa na uhai duniani. Kwa ule uchungu wa kuzaa hakuna mwanamke angekubali kubeba mimba nyingine kama wangekuwa na akili kama zetu. Mwanamke anaweza kuwa hata mke wa tano kama mume anatimiza wajibu wake. Ndugu Mtibeli acha kupambana na NATURE. futa huu uzi.
 
Unaweza kuonyesha population pyramid ya uwiano Baina ya idadi Wanaume na Wanawake walioumri wa kuolewa upoje
Google hapo Nchi nyingi za Ulaya wameweka data online; Kwa taarifa yako hata Wazungu sasa hivi kuna wanaoa wake wawili. Uliza waliopo kwenye Utalii watakuambia....waoaji wamepungua sana ...wewe unatuletea hadithi za Abunuwasi
 
WANAOSEMA Wanaume ni wengi Kuliko wanawake nimewawekea population pyramid inayoyoonyesha World population distribution by sex and age Group

Tujadili kwèñye Umri wa kuoa na kuolewa uwiano unaonyesha jinsia Ipi ina idadi kûbwa ya Watu kuliko nyenzake.


 

Mparee2 embu tujadili hii Hapa.

Unauelewa au Elimu ya mambo ya Kitakwimu hasa masuala ya Population data?

Kama Huna Naweza kukusaidia Kwa sababu Mimi Nina Elimu hiyo
 
Sasa nyie watibeli wanawake zenu ambao hawajaolewa na umri unazidi kusogea huwa mnawapa solution gani ya kukidhi hisia zao za kimwili?

Wanawake wa Tibeli NI world Class wôte wameolewa

Ambao hawajolewa bado wanafanya mambo mengine na kusubiri Wakati sahihi
 
Mfano uliotoa Ni nonsense kabisa 😆 eti uchungu wa kuzaa hakuna mwanamke angekubali kubeba mimba. Huo uchungu nikitu ambacho hakidumu ngoja nikupe namimi mfano wa kifala,,, mbona watu wanajua Ukimwi upo na unaua lakini tunajiweka kwenye hatari ya maambukizi. Kiufupi hakuna kitisho kinachoweza kumzuia binadamu kufanya Jambo. Ndugu mchangiaji tafuta mfano mwingine
 
Kuna mwamba kamvuruga mkewe kiasi kwamba mke akaona akaombe ushauri kwa msimamizi wa ndoa. Trend ikaendelea hivyo. Jamaa akaona ili kukomesha Hilo akaamua kutembea na mke wa msimamizi aise. Moto unawaka huko
🤣🤣🤣🤣 Huyo kapinda kweli aisee...hapo undugu Kwisha😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…