Sasa nyie watibeli wanawake zenu ambao hawajaolewa na umri unazidi kusogea huwa mnawapa solution gani ya kukidhi hisia zao za kimwili?Kwa Watu wôte waungwana kuzini NI dhambi na kuleta Balaa ndàni ya Nyumba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa nyie watibeli wanawake zenu ambao hawajaolewa na umri unazidi kusogea huwa mnawapa solution gani ya kukidhi hisia zao za kimwili?Kwa Watu wôte waungwana kuzini NI dhambi na kuleta Balaa ndàni ya Nyumba.
MWANAMKE ANAYEJITAMBUA HAWEZI KUWA MCHEPUKO AU MKE WA PILI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Binti yàngu, kwetu Watibeli ni mwiko Kwa Binti zetu kuolewa Mke wa Pili au Uke Wenza au Kuwa mchepuko.
Huko ni kutojitambua, kujidhalilisha na dalili ya umaskini na uvivu.
Wewe siô mzuri mpaka úwe Mke WA pili au úwe mchepuko?
Wewe siô mchapakazi na mwenye uwezo wa kujitegemea mpaka úwe Mke WA pili au mchepuko.
Mwanamke mwenye mzuri kwelikweli hawezi kuwa Mchepuko au Mke WA pili. Hakunaga huyo Mwanamke.
Mwanamke anayefanya Kazi na kujitegemea hawezi kuwa Mke WA pili au mchepuko.
Kama nilivyokufunza Binti yàngu, kuwa Sisi Watibeli kufanya Kazi ni Dini. Lazima ufanye Kazi uweze kujitegemea mwenyewe.
Ndoa pia ni Dini lakini haimaanishi úwe Mke wa Pili au mchepuko.
Ukijitegemea Huwezi kuwa Mke WA pili Daima dawamu.
Kitu kizuri huwa chaguo la Kwanza. Kitu kinachopendwa huwa chaguo la Kwanza Binti yàngu. Usikubali kuwa na kuitwa wa ziada au nyongeza. Wewe siô wanyonyeza. Wewe NI wathamani.
Úkiwa mvivu na mwenye kumtegemea Mwanaume, hutaki kufanya Kazi na kujitegemea unavunja utu wako na Kwa hakika Watu watakudharau ikiwemo kuwekwa mchepuko au Mke wa Pili.
Kuolewa Mke WA pili au mchepuko NI kukosa Soko, haiwezeniki Wanawake wenzako Kila Siku wanaolewa na kupata Wanaume waô wènyewe alafu wewe úwe mpàngo wa kando au Mke WA Pili.
Huo ni Mkosi
Huko ni kujichafulia Ñyota yako. Kuizim.
Kuitwa Mke mdogo Binti yàngu siô Sifa Njema. Wewe siô Bi. Mdogo. Nilikuzaa úwe Mke Mkubwa Kwa Mwanaume atakayekupa First priority. Sikukuzaa uitwe Bi. Mdogo au Nyumba ndogo.
Wewes siô Bi. Mdogo.
Nyumba yako Kamwe isiitwe Nyumba ndogo.
Kamwe Usiitwe Mpàngo wa kando au mchepuko. Wewe ni Njia kuu, Mke Mkubwa. Nyumba kûbwa.
Wewe ni Highway, michepuko itoke kwako hiyo siô kesi lakini siô wewe ati úwe mchepuko Kutoka Njia kuu. Huko ni kujidhalilisha. Binti za Tibeli Kamwe na haitokuja kutokea wakawa na sîfa hiyo.
Kwani unaharaka gàni?
Wanaume wa kukuoa wàpo anakimbilia kuwa Mke WA pili au mchepuko ili kushusha hadhi na Ñyota yako Maisha yako yôte Kisa nini?
Fanya Kazi wewe NI Mwanamke unayeweza kujitegemea.
Elewa, Mwanamke mzuri anayefanya Kazi akajitegemea hawezi kuwa Mke WA pili au mchepuko Kwa sababu Wanaume weñye Akili hujua thamani yake na watamuoa akiwa nafasi ya Kwanza.
Fanya Kazi, linda heshima yako na thamani yako kama Mwanamke.
Masuala ya kusema mbona Zamani Bibi zako walikuwa wanaolewa Wake Wenza au Michepuko hiyo ilikuwa Zamani Wakati Wanawake wakiwa watumwa.
Tenà hata hizô Zamani Binti za Tibeli na Wanawake wa Tibeli hawakuwahi kuolewa Mke wa Pili Wala kuwa michepuko.
Hiyo siô desturi ya Wanawake Bora wanaojitambua.
Hilo la Mke WA pili au mchepuko Acha Wengine wafanye lakini siô wewe Binti yàngu. .
Baadhi ya Mapokeo ya Dini àmbayo hayakufuata HAKI Bali yalifuata matamanio ya Wanadamu na matamanio ya waandishi wa Wakati huo usiyafuate.
Mimi Baba yako, na Mama yako ndivyo tulivyokuagiza hayo. Yasikilize maneno yàngu
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Takwimu za watu duniani ziko balanced mkuu. Wanaume tunazaliwa wengi kuliko wanawake, lakini wanawake wanaishi zaidi kuliko wanaume. So ukiangalia hizo takwimu by Age utakuta idadi kubwa ya Wazee Ni wanawake na idadi kubwa ya vijana na watoto Ni wanaume.Takwimu kutoka Taasisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Tanzania ina wanawake 31,687,990 - ikiwa ni asilimia 51 ya idadi ya raia wake. Wanaume wanachukua asilimia 49 kwa idadi yao ya 30,530,130.
Kwa takwimu hizo kama kila mwanaume akioa mwanamke mmoja, kuna wanawake zaidi ya milioni moja hawataolewa. Je, tuwapeleke wapi?
Tunaomba utuambie, wanawake kama binadamu wengine, mahitaji yao ya kimaumbile atawatekelezea nani iwapo hawatachepukiwa?
Lazima utaje Ni dini gani ,, 😂kusema dini usifikiri kila mtu Ni dini yako😆Sheria ya dini inaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja. Muumba wa mbingu na ardhi ameona inafaa halafu anakuja mjinga mmoja kutoka vichakani huko anasema ni kutojitambua
Hizi ni hadith tu kama zile za abunuwas
NIKUKUMBUSHE TU KUWA; Wanaume ni wachache kuliko wanawake na sasa hivi waoaji wanazidi kupungua baada ya Nguvu kubwa kuelekezwa kwa wanawake na Ukichanganya na janga la ushoga; waoaji walio makini wanaenda kuwa kama dhahabu
Sasa wewe endelea kujidanganya kuwa, wanawake kwa malaki watazaliwa hadi kufa bila kuwa na mahusiano na wanaume...
Lazima utaje Ni dini gani ,, 😂kusema dini usifikiri kila mtu Ni dini yako😆
Mchepuko ni NOMINO Tu wala haina cha kufanya na Mambo ya mapenzi, mwanamke ambaye yuko tayari kuwa na Mimi, I mean kama mke wa pili, NAOMBA AJE INBOX, nataka ambaye yuko matured sitaki hizi simblisi
Watibeli ni kina nani kwanza?Kwani kwèñye watañzania hakuna Watibeli?
Kama wewe NI Mtanzania asiye Mtibeli Basi mada haikuhusu
Watibeli wàpo Dunia nzima Mkuu
Kuna mwamba kamvuruga mkewe kiasi kwamba mke akaona akaombe ushauri kwa msimamizi wa ndoa. Trend ikaendelea hivyo. Jamaa akaona ili kukomesha Hilo akaamua kutembea na mke wa msimamizi aise. Moto unawaka hukoHakika ni vingi...mahusiano hayaelezeki
Google hapo Nchi nyingi za Ulaya wameweka data online; Kwa taarifa yako hata Wazungu sasa hivi kuna wanaoa wake wawili. Uliza waliopo kwenye Utalii watakuambia....waoaji wamepungua sana ...wewe unatuletea hadithi za AbunuwasiUnaweza kuonyesha population pyramid ya uwiano Baina ya idadi Wanaume na Wanawake walioumri wa kuolewa upoje
WANAOSEMA Wanaume ni wengi Kuliko wanawake nimewawekea population pyramid inayoyoonyesha World population distribution by sex and age Group
Tujadili kwèñye Umri wa kuoa na kuolewa uwiano unaonyesha jinsia Ipi ina idadi kûbwa ya Watu kuliko nyenzake.
View attachment 3070457
Sasa nyie watibeli wanawake zenu ambao hawajaolewa na umri unazidi kusogea huwa mnawapa solution gani ya kukidhi hisia zao za kimwili?
Mfano uliotoa Ni nonsense kabisa 😆 eti uchungu wa kuzaa hakuna mwanamke angekubali kubeba mimba. Huo uchungu nikitu ambacho hakidumu ngoja nikupe namimi mfano wa kifala,,, mbona watu wanajua Ukimwi upo na unaua lakini tunajiweka kwenye hatari ya maambukizi. Kiufupi hakuna kitisho kinachoweza kumzuia binadamu kufanya Jambo. Ndugu mchangiaji tafuta mfano mwingineKuna saa unaandika vitu kama mtoto mdogo. Mwanamke ajitambue ili nini? Wanawake wakisema wajitambue na kutumia akili kama wanaume hakutakuwa na uhai duniani. Kwa ule uchungu wa kuzaa hakuna mwanamke angekubali kubeba mimba nyingine kama wangekuwa na akili kama zetu. Mwanamke anaweza kuwa hata mke wa tano kama mume anatimiza wajibu wake. Ndugu Mtibeli acha kupambana na NATURE. futa huu uzi.
🤣🤣🤣🤣 Huyo kapinda kweli aisee...hapo undugu Kwisha😊Kuna mwamba kamvuruga mkewe kiasi kwamba mke akaona akaombe ushauri kwa msimamizi wa ndoa. Trend ikaendelea hivyo. Jamaa akaona ili kukomesha Hilo akaamua kutembea na mke wa msimamizi aise. Moto unawaka huko