Mwanamke anayekupenda hatakuomba pesa kila wakati

Taratibu we mzee [emoji1787][emoji1787] unatuloanisha tulipo huku
 
Taratibu we mzee [emoji1787][emoji1787] unatuloanisha tulipo huku
Ukilowana kama hivo nakutandika na misimbazi huku tunawekana wakati huo tunatazama namna (vyombo) vinavopeana , tunatazamana usoni......ukinitukania nazidisha kukut*****mba, ukimwaga maji nakutukania......🙈
 
Ukilowana kama hivo nakutandika na misimbazi huku tunawekana wakati huo tunatazama namna (vyombo) vinavopeana , tunatazamana usoni......ukinitukania nazidisha kukut*****mba, ukimwaga maji nakutukania......[emoji85]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Evelyn Salt em njoo unisaidie kwa huyu mzee anapoelekea huku salama kweli
 
Wanawake wa siku hizi wote ni wezi tu
 
Wanawake kama Hawa ni 5 kati ya 95 .

Probably kwenye maisha yangu walishawahi kutokea wawili na sidhani kama bado tuna Mahusiano.

Labda mtoa Mada yupo sahihi

Mwanamke anayekupenda hatakuomba pesa kila wakati 🤔​

 
Umechelewa kukua kiakili kulitambua hilo....

Hiyo ni pythagoras theory of true love❤️
 
Ni kweli kabisa
Kuna baadhi ya wadada sijawahi gombana nao, ila sahivi hatusemeshani, mazoea nao yameisha sababu nawakwepa vizinga vyao, sikuwahi kuwatongoza ila wana vizinga vidogo dogo vya mara kwa mara, halafu hapo hapo wanaonesha ishara za kutaka kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na mimi.

Yani saa ingine unaogopa hata kumsalimia mdada au kumzoea kidogo, maana unajua kitakachofata ni ninunulie hiki, ninunulie breakfast, mara moja moja yeye kuomba hivyo vitu ni sawa, ila almost every time mtu akikuona anakuambia ninunulie hiki cha buku, ninunulie kile cha breakfast, hadi mtu unamchoka Principle girl Donatila Shunie Numbisa Melancholic Fanton Mahal Equation x Extrovert Mzee wa kupambania
 
Pole mkuu. JF imenipa mchumba now , kwake love tu ndio mpango mzima mengine hayo sio kipaumbele na vipengele hakuna. 😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…