Mwanamke anayekupenda hatakuomba pesa kila wakati

Kuna pisi moja nili iambia mimi kukupa pesa labda uwe na shida ya msingi kama unaumwa vile ,doh ata siku aija pita kesho yake ina lalamika inaumwa nikasema hii kiazi imenikosa [emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwajui vzr hawa....

Kuna muda wana camouflage kiu ya kukuomba hela.. mkishazoeana vzr utaona rangi halisi.. ni kawaida yao.

Kuna raha kumpa Mwanamke wako hela.. hiv hujishtukii kabisa kutowajibika kwa namna moja ama nyingine financially?

:N.B: Sipendi kuombwa hela.. majukumu yangu nayajua.. kosa aniombe hela, hapo anakuw anautafuta ugomvi..
 
Na nyie basi
Your browser is not able to display this video.

msiwe waongo waongo. Full stop
 
πŸ˜… Vizinga vya kipumbavu inaboaa sana
 
Hili halikuwa azimio la kikao uyo amevunja mashart asije tena kikaoniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…