Mwanamke atakayepata Marks kuanzia 75% anaweza kuwa Mke wangu

Kwema wakuu!

Ngoja tupitishe muda kwa stori kidogo.
Zifuatazo ni vigezo na Marks ambazo Mwanamke yeyote aki- score kuanzia 75% anaweza kuwa mke wangu.

1. Awe Mwanamke Mrembo na Mzuri ( Marksi 30)
I. uzuri wa sura 10%
ii. Shape šŸ‘‰šŸ¼ Kibindo, Chura aka msambwanda wa kati 10%
iii) Rangi maji ya kunde au rangi ya andazi 10%

2. Awe Mwanamke mwenye tabia njema, Mchamungu na mwenye Imani. (marks 30)
i. Bikra. 15%.
ii. Anayeijua Dini 5%
Iii. Aliyetayari kunisikiliza 10%

3. Awe Mwanamke Mwenye Elimu kuanzia Diploma. 10%

4. Awe anajua Kutunza na kuilea Familia Marks 20
i. Awe na maadili ya kuitunza familia 10%
ii. Awe na kipato au kazi ya kuajiriwa au kujiajiri 10%

5. Ajue mapishi na michezo ya ndani 10%.
Jumla ya Marks ni 100%
Lakini aki- score kuanzia 75 yupo katika nafasi ya kuwa mke wa Watibeli.

Karibuni Kijiwe nongwa
Utakuta unaishi kwa shemeji yako na bado unajifanya mjanja
 
Kwema wakuu!

Ngoja tupitishe muda kwa stori kidogo.
Zifuatazo ni vigezo na Marks ambazo Mwanamke yeyote aki- score kuanzia 75% anaweza kuwa mke wangu.

1. Awe Mwanamke Mrembo na Mzuri ( Marksi 30)
I. uzuri wa sura 10%
ii. Shape [emoji1371] Kibindo, Chura aka msambwanda wa kati 10%
iii) Rangi maji ya kunde au rangi ya andazi 10%

2. Awe Mwanamke mwenye tabia njema, Mchamungu na mwenye Imani. (marks 30)
i. Bikra. 15%.
ii. Anayeijua Dini 5%
Iii. Aliyetayari kunisikiliza 10%

3. Awe Mwanamke Mwenye Elimu kuanzia Diploma. 10%

4. Awe anajua Kutunza na kuilea Familia Marks 20
i. Awe na maadili ya kuitunza familia 10%
ii. Awe na kipato au kazi ya kuajiriwa au kujiajiri 10%

5. Ajue mapishi na michezo ya ndani 10%.
Jumla ya Marks ni 100%
Lakini aki- score kuanzia 75 yupo katika nafasi ya kuwa mke wa Watibeli.

Karibuni Kijiwe nongwa
Shape [emoji1371] Kibindo, Chura aka msambwanda wa kati 10%[emoji23]

Ni kibinda nkoi lakini Mtibeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom