Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #61
Jana umesema haujajipata kimaisha, halafu leo unaandika gazeti lenye vigezo vya mwanamke umtakaye.
Iwapo wewe hujajiandaa kuwa mume, ni kwanini unaweka vigezo na masharti ya mwanamke umtakaye?
Kama hauko tayari kuwa baba, kwanini utake mwanamke aliye tayari kuwa mama?
๐๐
Soma kwa ufahamu Mkuu.
Kipi kigumu kuelewa