MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Hakika, ils ubora unatofautiana, wakifamilia, kiwilaya, kimkoa, na kimataifa. Bikira Maria yeye ni wa viwango vya kiulimwengu🤣🤣🤣🤣🤣
Mwanamke bora kuliko wote duniani ni mama yangu
Bikira Maria ana heshimiwa aabudiwi. Kila mtu anapenda mama yake aheshimiwe,ata Yesu piaLakini ni Nani aliwaagiza muabudu bikira Maria?!
Kuna mtu anaabudu Bikira Maria? Jitahidi kuelewa vitu ufiche ujinga wako Restless HustlerLakini ni Nani aliwaagiza muabudu bikira Maria?!
Mimi sijaharamisha kiumbe cha mungu.Wewe ni nani wa kuharamisha kiumbe cha Mungu?
Sisi wakristu tulisha graduate huko, haramu ni kile kimtokacho mtu asema bwana wetu Yesu Kristu kasome injili ya Mathayo 15:11Mimi sijaharamisha kiumbe cha mungu.
Kumbukumbu la torati sijaandika mimi.
Labda kama mungu wenu anabadilikabadilika.
Kwenye kumbukumbu la torati anakataza kwenye agano jipya anaruhusu.
Mungu wa ajabu kabisa!
Na mungu aliyesema msile nguruwe kwenye kumb la torati ni mungu wa kina nani?Sisi wakritu tulisha graduate huko, haramu ni kile kimtokacho mtu asema beana wetu Yesu Kristu kasome injili ya Mathayo 15:11
Mungu amesema mambo mengi kwa watu wengi na kwa wakati ufahao. Mungu ni mlezi, kila wakati ameleta neno lifaalo kwa makusudi maalumu. Ila ujumbe wa Yesu ni ujumbe wa uokovu, ni namna gani uishi ili uurithi ufalme wa MunguNa mungu aliyesema msile nguruwe kwenye kumb la torati ni mungu wa kina nani?
Au mungu wa wapagani?
Maneno mengi ujajibu swali!Mungu amesema mambo mengi kwa watu wengi na kwa wakati ufahao. Mungu ni mlezi, kila wakati ameleta neno lifaalo kwa makusudi maalumu. Ila ujumbe wa Yesu ni ujumbe wa uokovu, ni namna gani uishi ili uurithi ufalme wa
Mungu yuko flexible mkuu na hiyo ndiyo sifa yake kuu, he ls the wisdom. Kila neno lake lilitoka kwa sababu maalum.Kama vile alivyo mpa Adam mke mmoja na nyinyi akawaambie muoe wanne. Hali kadhalika sisi akatuambia haramu si kiingiacho bali kitokacho yaani kwa sasa yeye ha-focus kwenye vitu physical bali spiritual.Maneno mengi ujajibu swali!
Mungu aliyeruhusu mle nguruwe kwenye agano jipya na Mungu aliyekataza msile nguruwe kwenye agano la kale ni Mungu mmoja au mungu wawili tofauti?
Mungu wenu ana sifa ya kubadilikabadilika?
ni kifungu gani kwenye agano jipya ambacho kinaruhusu ulaji wa hiko unachosema? sidhani kama umeisoma Biblia kweli, anyways, kitaje nami nikione vinginevyo itakuwa umeropoka tuMimi sijaharamisha kiumbe cha mungu.
Kumbukumbu la torati sijaandika mimi.
Labda kama mungu wenu anabadilikabadilika.
Kwenye kumbukumbu la torati anakataza kwenye agano jipya anaruhusu.
Mungu wa ajabu kabisa!
Amebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu mzao wa tumbo lake amebarikiwa. Copy that.Hawezi kumshinda Sarah au Esta wa "Mvikeni sanda nyeusi" au African queens kama Nefertari na Nerfetiti.
Figure of speechAmebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu mzao wa tumbo lake amebarikiwa. Copy that.
Ubora wake ni upi mkuuView attachment 2541216
Lk 1:46-50 SUV
Mariamu akasema, Moyo wangu wamwadhimisha Bwana, Na roho yangu imemfurahia Mungu, Mwokozi wangu; Kwa kuwa ameutazama Unyonge wa mjakazi wake. Kwa maana, tazama, tokea sasa Vizazi vyote wataniita mbarikiwa; Kwa kuwa Mwenye nguvu amenitendea makuu, Na jina lake ni takatifu. Na rehema zake hudumu vizazi hata vizazi Kwa hao wanaomcha.
Heri ya sikukuu ya wanawake duniani.