MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
- Thread starter
- #21
Luka mtakatifu 1:42Figure of speech
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Luka mtakatifu 1:42Figure of speech
Kwa viwango vya aliyempa huo ubora. I cant question wisdom ya Mungu. That is territory which i am not familiar with.Ubora wake ni upi mkuu
Mungu wa wapi. Acha kuendelea utumwa. Yaani Bado umetekwa akili na dini za kuletewa mpaka hujitambui. Ukristo na uislamu ni dini zilizoletwa kutokomeza asili ya mtu mweusi. Kabla ya dini hizi kuja je watu walikuwa wanaabudu au hapana.Mungu amesema mambo mengi kwa watu wengi na kwa wakati ufahao. Mungu ni mlezi, kila wakati ameleta neno lifaalo kwa makusudi maalumu. Ila ujumbe wa Yesu ni ujumbe wa uokovu, ni namna gani uishi ili uurithi ufalme wa Mungu
Alijaa neema, na Mungu alikuwa naye daimaUbora wake ni upi mkuu
Mkuu kila mtu ashinde vita zake. Utakikabili kifo peke yako na utajipambania huko uendakoMungu wa wapi. Acha kuendelea utumwa. Yaani Bado umetekwa akili na dini za kuletewa mpaka hujitambui. Ukristo na uislamu ni dini zilizoletwa kutokomeza asili ya mtu mweusi. Kabla ya dini hizi kuja je watu walikuwa wanaabudu au hapana.
Nime quote vifungu vya biblia mkuu siyo mawazo yanguUnajua dini zimeharibiwa na mapokeo, ukisoma biblia ni tofauti kabisa
Kwenda wapi. Kuku.ngombe .mbuzi unazokula zenyewe zinakwenda wapi. Kwahiyo unaogopa kifo. Kufa ndiyo maendeleo ya dunia. Kama hapo akili Yako imefika mwisho inawaza kwenda usipopajua ndiyo hivyo hivyo akili mpya inatakiwa ije Ili itatue shida kama yakoMkuu kila mtu ashinde vita zake. Utakikabili kifo peke yako na utajipambania huko uendako
Sikatai mawazo mapya lakini kila mtu ni master of his own fate and captain of his soul. Amini unacho kiamini, i have no problem, for as long as your interests does not conflict with mineKwenda wapi. Kuku.ngombe .mbuzi unazokula zenyewe zinakwenda wapi. Kwahiyo unaogopa kifo. Kufa ndiyo maendeleo ya dunia. Kama hapo akili Yako imefika mwisho inawaza kwenda usipopajua ndiyo hivyo hivyo akili mpya inatakiwa ije Ili itatue shida kama yako
Mnafeli sanaAlijaa neema, na Mungu alikuwa naye daima
Sisi wengine tumejaa tamaa za kimwili na full kisingizia shetwani anatupitia kila akitaka,
Ndugu, kwa hiki ulichoandika hapa inaleta picha jinsi ulivyo maamuma. Unahitaji kujifunza zaidi ndiyo uje kuandika tena mara ya pili.Mimi sijaharamisha kiumbe cha mungu.
Kumbukumbu la torati sijaandika mimi.
Labda kama mungu wenu anabadilikabadilika.
Kwenye kumbukumbu la torati anakataza kwenye agano jipya anaruhusu.
Mungu wa ajabu kabisa!
Mungu aliyeharamisha nguruwe kwenye agano la kale na huyu aliyeruhusu wa agano jipya ni miungu wawili tofauti au mmoja?Si kweli! Maneno hayo si ya Paulo. Ni ya Yesu Kristo mwenyewe. Nakushauri kabla ya kuandika fanya utafiti kwanza. Angalia mwenyewe hapa:
Marko 7 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
"¹⁴ Akawaita makutano tena, akawaambia, Nisikieni nyote na kufahamu.
¹⁵ Hakuna kitu kilicho nje ya mtu ambacho kikimwingia chaweza kumtia unajisi, bali vile vimtokavyo, ndivyo vimtiavyo unajisi yule mtu.
¹⁶ Mtu akiwa na masikio ya kusikilia, na asikie.]
¹⁷ Hata alipoingia nyumbani, ameuacha mkutano, wanafunzi wake wakamwuliza habari za ule mfano.
¹⁸ Akawaambia, Hivi hata ninyi hamna akili? Hamfahamu ya kwamba kila kitu kilicho nje ya mtu, kikimwingia, hakiwezi kumtia unajisi;
¹⁹ kwa sababu hakimwingii moyoni, ila tumboni tu; kisha chatoka kwenda chooni? Kwa kusema hivi alivitakasa vyakula vyote.
²⁰ Akasema, Kimtokacho mtu ndicho kimtiacho unajisi.
²¹ Kwa maana ndani ya mioyo ya watu hutoka mawazo mabaya, uasherati,
²² wivi, uuaji, uzinzi, tamaa mbaya, ukorofi, hila, ufisadi, kijicho, matukano, kiburi, upumbavu.
²³ Haya yote yaliyo maovu yatoka ndani, nayo yamtia mtu unajisi. "
Mstari wa 19 hapo unatoa majibu.
ndiyo huyo huyoMungu aliyeharamisha nguruwe kwenye agano la kale na huyu aliyeruhusu wa agano jipya ni miungu wawili tofauti au mmoja?
Kati ya wakatoliki wanaokula nguruwe na wasabato wasiokula nguruwe nani anamfatisha mungu wenu ambaye ni huyo huyo kwa usahihi?ndiyo huyo huyo
Ukinijibu pia hili swali kwa ufasaha nami nitakujibu ulilouliza.Mungu aliyeharamisha nguruwe kwenye agano la kale na huyu aliyeruhusu wa agano jipya ni miungu wawili tofauti au mmoja?
Waendelee kumswalia mtume bado hajafika anapostahiliUkinijibu pia hili swali kwa ufasaha nami nitakujibu ulilouliza.
"Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet'ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua." (Quran 2:256)
"Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii." (Quran 9:29)
Naomba uniambie ni mungu wawili tofauti au ni mungu mmoja hapo aliyeshusha aya hizo mbili? Mbona kama anabadilika badilika?
SawaMama yangu ndiye bora ulimwengu mzima. Ukatae usikatae, ukweli ndiyo huo.
Ukienda shambani mara nyingine magugu ndiyo umea vizuri na kwa haraka kuliko mazao yenyewe.Afrika itatuchukua miaka mingi sn kujinasua toka katika mitego ya wakoloni(DINI). Leo hii mchina anakula siyo tu nguruwe,pamoja na nyoka,mbwa,paka,komba mwiko nk. Na bado Mungu anawajalia kuwa wavumbuzi na wanasayansi wazuri. Mwafrika amekalia kwenye masimulizi ya zamani kula hiki usile kile na bado hata kutengeneza sindano za kushonea nguo hajaweza. Sasa vya kula au kutokula nguruwe vinawasaidia nini? Hebu tuamke waafrika!