Mwanamke bora kuliko wote duniani ni Bikira Maria, ukitaka ndiyo hivyo, usipotaka ndiyo hivyo

mungu katika quraan kawasifu wanawake, mariam mama yake yesu na mke wa farao( firauni)
 
Nilikuuliza swali kule haujanijibu mbona kama unalikwepa?

Quran 2:256 inasema hakuna kulazimishana katika kuabudu, yaani siyo lazima mtu kuwa muislamu.

Quran 9:29 inawaagiza ninyi waislamu kuwapiga na kuwaua wasio waislamu mpaka watakaposilimu au kulipa kodi.

Je, mungu wenu anabadilika badilika pia? Au ni miungu wawili tofauti tofauti?
 
Mungu amesema mambo mengi kwa watu wengi na kwa wakati ufahao. Mungu ni mlezi, kila wakati ameleta neno lifaalo kwa makusudi maalumu. Ila ujumbe wa Yesu ni ujumbe wa uokovu, ni namna gani uishi ili uurithi ufalme wa Mungu
Nmekuelewa kabisa kila andiko katika biblia lina maana katika maisha ya binadam,,
 
Hivi mnakuwa hamuwezi kutoa aya hadi muongeze chumvi. We akili yako ukisikia neno piganeni akili yako inakuja kwenye vita. Hapo kwenye aya mpaka watakaposilimu wapi imeandikwa kwenye aya.
Jizya ni kodi ambayo ilikuwa inalipwa kwa raia wasiokuwa waislamu. Hivi hiyo aya umeitoa wapi mbona umeongeza uongo mwingi.

Hapo walikuwa washirikina walikuwa wanaishi kwenye dola ya kiislamu ambao walikuwa wanatumia huduma zinazonufaisha jamii kwa ujumla haswa ulinzi kulipa kodi(jizya).
We nenda nchi yoyote usilipe kodi uone utafanywa nini kama haujafilisiwa au kuwekwa ndani.
Pia aya inasema piganeni na sio wapigeni. Kwa hiyo hapo kuna mapambano ya pande mbili sio upande mmoja. Kiswahili rahisi hauelewi na vitu vilivyokuwa "complex" utaelewa kweli?

Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wametii.
(Qur'an 9:29)
 
Akhy unaangaika bure kumpigia mbuzi gitaa.

Hana ajualo kuhisu uislamu achilia mbali hizo aya.

Yeye hapo anaona kauliza bonge la swali.
 
Wewe swali langu umejibu?

Au ujaliona.
 
Mimi sijaharamisha kiumbe cha mungu.

Kumbukumbu la torati sijaandika mimi.

Labda kama mungu wenu anabadilikabadilika.

Kwenye kumbukumbu la torati anakataza kwenye agano jipya anaruhusu.

Mungu wa ajabu kabisa!
Mungu wao saa nyingine haeleweki
Aliwaambia Adam na mkewe mkila tunda lile mtakufa nyoka akawaambi hamfi wakala na hawakufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…