Mwanamke hawezi kukutii kama hakupendi hata uwe tajiri namba moja Duniani


Unaishi kwenye Ulimwengu wa miaka 4000 iliyopita.

Mnaooa Wanawake Kwa mafungu ya nyanya.
Kwa sababu mnadhani Wanawake hawapendi na wengi ndio hapo mnapojidanganya.

Endelea kuishi kwenye Zama za Giza hapo.
 
Hata hivyo hawakuumbwa kutupenda, wameumbwa kututii..utii unakuja kwa sababu ya mengi.
 
Nonsense.
Haya ndo kama yale ya watu masikini kuamini Matajiri hawana furaha.
 
Maskini huwa tunajipa moyo sana kwamba Penzi la pesa halipo duniani na kama lipo basi si la moyoni mwa hao wawili, na si kila mwanamke anataka pesa ili ampende mwanaume na kinyume chake... ha ha ha ha sisi maskini bana.
 
Nkaushauri soma vitabu viwili (One Thousand and One nights} "Alf lela u lela" na "The perfumed Garden".

Ukisoma vitabu hivyo utaelewa kuwa mwanamke hawezi kukutii hata uwe mfalme unaemiliki kila kitu kama humchapi fimbo akachapika.

😀😀
 
Maskini huwa tunajipa moyo sana kwamba Penzi la pesa halipo duniani na kama lipo basi si la moyoni mwa hao wawili, na si kila mwanamke anataka pesa ili ampende mwanaume na kinyume chake... ha ha ha ha sisi maskini bana.

Nakuambia hivi, Pesa haitakufanya upendwe. Utapendwa kinafiki tuu. Na upendo wa kinafiki sio Upendo.

Sijasema ukiwa Tajiri huwezi kupendwa, yupo mwanamke atakayekupenda wewe na sio Kwa sababu ya utajiri wako. Hiyo ndio hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…