Mwanamke hawezi kukutii kama hakupendi hata uwe tajiri namba moja Duniani

Mwanamke ameumbwa kutiii na mwanaume ameumbwa kupenda..asa sijui porojo zako umetoa wap...!!!!

punguza chai kwenye mambo usiyo na ufaham nayo.
 
Waj
Una wenyew sindio sisi jmn🤣
 
Kuna wake za kiarabu wanatiwa mpaka huruma. Mi nimeshuhudia na mwanaume hajui.

mshamba_hachekwi kweli watu hawajui kila kitu.
 
unamaanisha wanacheat, au nini
Wanacheat sana. Mara ya kwanza sikuamini ila baadaye nilishuhudia. Yule mwanaume wa kiarabu anajisifu si tunamuona kama boya tu.

Aisee wake za waarabu na wahindi wanqpelekewa moto sema wana akili Moja: hawatakubali wazae na wewe ikiwa mume wake Yuko hai.
 
hiyo kauli ya 'mwanamke anatakiwa akutii sio akupende' nina mashaka nayo
 
Yule alimuigizia. Lazima utambue upendo wa kweli na feki.
 
Ww jamaa nisha kuonya ya kuwa acha tabia ya kujifanya unawajua wanawake kuliko Mungu aliye waumba, aliye waumba alisha kwambia kuwa uishi nao kwa akili ina maana ya kuwa ikiona mwanamke ana kengeuka ujue ww mwanaume ndo una matatizo na si huyo mwanamke.

Kwanza tuambie mwanamke anaye kutii kwa sababu ya upendo na yule anaye kutii kwa sababu ya woga unawatafautishaje?

Nyinyi ndo huwa mnajiuwa au kuuwa mabinti za watu baada ya kuwafumania kwa sababu mlikuwa mnawaamini wake na mademu zenu kuwa wanawapenda sana bila kujua kuwa mwana mke kubadilisha mtazamo juu yako ni sekunde moja.

Mwaume unacho takiwa kufanya ukifika umri wa kuoa tafuta mwanamke anaye ona ana kufaa kwa vigezo vyako akisha kubali kuolewa na ww, ww kama mwanaume na kichwa cha familia weka sheria zako ambazo anatakiwa azitii haijalishi ni kwa namna gani akishindwa basi achana naye.

Haya mambo ya sijui kupendwa sijui nn yako kinadharia na kwenye mapenzi ya bongo move lakini mitaani hakuna kitu kama hicho.

Mwanaume yeyote anaye ishi kwa kutafuta atetion kwa wanawake sijui apendwe sijui taka taka gani huyo ni mwanaume mpumbavu.
Na malizia kwa kukuonya tena siku zote za maisha yako usije ukamuamini mwanamke hata siku moja haijalishi ataigiza upendo kiasi gani kwako.
 

Embu nionyeshe sehemu ambayo Mungu Kasema hayo.
Au Paulo ndio kawa Mungu siku hizi
 
Naomba kuuliza neno "tatuteni" jeh ni msamiati mpya katika lugha ya kiswahili?
 
Embu nionyeshe sehemu ambayo Mungu Kasema hayo.
Au Paulo ndio kawa Mungu siku hizi
Ww jamaa unanichekesha sana sasa kama huyaamini maandiko ya biblia kisa ni maneno ya paulo iweje unataka tuyaamini maneno yako au ww maneno yako yametoka kwa mungu?

Paulo alikuwa mtume wa mungu hivyo anacho kisema jua kakisema kwa idhini ya mungu wake.
Na maneno yake yana jidhihirisha kwa tabia za wanawake zilivyo hawajui wana taka nn.

Hata katika Qruan mtume amesema oweni wanawake walio wema mtapata utulivu na wala hakusema oeni wanawake wanao wapenda.

Hakuna mtu yeyote anaye weza kukielewa kiumbe kinacho itwa mwanamke tofauti na aliye kiumba tuache kujifariji.
 
Lazima ujue sio Kilamtu anaamini hayo maandiko kutoka kwenye kitabu unacho amini wewe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…