Mwanamke hupata hisia ya ngono anapomuona mwanaume akiwa mtupu?


Umezunguka sana, sema neno moja tu na utaeleweka, hela ha haaaa

Hela ha haa inatosha.. Siku hizi kila mwanaume mwenye hela ana akili
 
Umalaya tuu, hela haiwezi mfanya mwanamke akawa na hisia na mwanamme.

Kama unapata hisia za mapenzi ukipewa hela basi wewe huna tofauti na kahaba anayejiuza.

 
Umalaya tuu, hela haiwezi mfanya mwanamke akawa na hisia na mwanamme.

Kama unapata hisia za mapenzi ukipewa hela basi wewe una tofauti na kahaba anayejiuza.
Unabishaje na hujawahi kuwa mwanamke?
 
Ukimpa vyote hvyo wew utakuw umebakiw na Nguvu za kiumee kidogooooooooo na muda mdogo wa kuwa nae wakt yeye nyege zake zipo juuuu kitachofata utaniambia

Hawa viumbe hawatabilik Tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…