Amen kwetuAhsante Sana
Nakazia hapo kwa wanaume..Mungu azidi kuwapigania wanaume wa Aina hiyo..awatangulie kwenye kila hatua zao .. awabariki kila watokapo majumbani na kurudi kwenye kutafuta riziki..nasi wanawake tujipongeze pia.. hallelujah!!!
Pasaka njema kwapo pia mama ake na D
kama ni kweli haunafkiii huku Jf, na kwa mumeo upo hivi ulivo, basi mumeo kaokota dodo chini ya muembe.Wapo na mnapishana nao kila siku ila sasa hawana yale mambo ya mwilini mnayoyathamini
Ila wana mambo mazuri sana ndani ya mioyo yao
Kweli kabsa. Kuoa muoaji ana angalia vigezo vyake ikiwa anatumia akili kama atatumia matamanio ya kimwili pasipo kuangalia mipango malengo na mengineyo muhimu basi kuna ile kuoa kwa msukumo wa moyo, ndugu au ili mradi umeoa. Na mwanaume akitaka kitonga ataoa bila kuangalia misingi bora kwa huyo mwenza wakeKwani si ni kweli mwanaume anaamua kuoa kwa vigezo vyake mwenyewe?
Anashikiliwa lazima uoe huyu😅😅😅
Hahahaaaa...jiwe kweli kweliKama huyo mwanaume kwenye avatar yako sijui ungempata wapi akusindikize kitchenparty😅😅😅
I miss him sana kwa kweli
Huyu kasema ukweli bana sister usiletee kutetea wanawake kijingaUmejitahidi kuwaza lakini ulichowakilisha hapo ni ujinga wa wewe mwenyewe na maisha yako
Mawazo kama yako yanatolewaga na wale wavulana ambao walioa au kuingia kwenye mahusiano bila kujitambua wala kujua maana ya mahusiano na majukumu yake.
Kazi kwako kujitafakari jinsi ya kutafuta mafanikio na kutunza mke na familia au endelea kumchunga uliyemchagua na kuwa mbeba mapochi ya mkeo ukifikiri ndio kumtuliza.... hadi utakapokujashtuka kumekucha🤣🤣🤣🤣
Nakuongezea na ushauri wa baba wa kiroho
View attachment 2191609
Umesema kweli aisehHeshma kubwa na shukrani nyingi kwa wanaume wote wanaotutunza na kutupatia kila kitu kinachohitajika nasisi na familia, na heshma kwa wanawake wote wanaowaelewa wanaume wa aina hii na kuwasaidia kufikiria zaidi, kutafuta zaidi, na kuwatunza wanaume wao pamoja na mali wanazozitafuta
View attachment 2191526
Kwa vijana wetu wa kiume wajue tuu kwamba kazi ndio maisha na heshma ya mwanaume
Kwa vijana wetu wa kike watambue mahusiano mazuri na ndoa yanajengwa na uwezo wa kubeba majukumu sio uwezo wa kula bata
Kwa wanawake wenye bahati ya kupata wanaume hawa watafutaji; waombeeni na watunzeni, ukimtesa au usipomuelewa huyo ataishia kupata msongo wa mawazo na kufa halafu kupata mwingine sahau!
Pasaka njema
Ahsante Sana
Nakazia hapo kwa wanaume..Mungu azidi kuwapigania wanaume wa Aina hiyo..awatangulie kwenye kila hatua zao .. awabariki kila watokapo majumbani na kurudi kwenye kutafuta riziki..nasi wanawake tujipongeze pia.. hallelujah!!!
Pasaka njema kwapo pia mama ake na D
"Kwa vijana wetu wa kike watambue mahusiano mazuri na ndoa yanajengwa na uwezo wa kubeba majukumu sio uwezo wa kula bata" Mwisho wa kumnukuu mama DHeshma kubwa na shukrani nyingi kwa wanaume wote wanaotutunza na kutupatia kila kitu kinachohitajika nasisi na familia, na heshma kwa wanawake wote wanaowaelewa wanaume wa aina hii na kuwasaidia kufikiria zaidi, kutafuta zaidi, na kuwatunza wanaume wao pamoja na mali wanazozitafuta
View attachment 2191526
Kwa vijana wetu wa kiume wajue tuu kwamba kazi ndio maisha na heshma ya mwanaume
Kwa vijana wetu wa kike watambue mahusiano mazuri na ndoa yanajengwa na uwezo wa kubeba majukumu sio uwezo wa kula bata
Kwa wanawake wenye bahati ya kupata wanaume hawa watafutaji; waombeeni na watunzeni, ukimtesa au usipomuelewa huyo ataishia kupata msongo wa mawazo na kufa halafu kupata mwingine sahau!
Pasaka njema
Heshma kubwa na shukrani nyingi kwa wanaume wote wanaotutunza na kutupatia kila kitu kinachohitajika nasisi na familia, na heshma kwa wanawake wote wanaowaelewa wanaume wa aina hii na kuwasaidia kufikiria zaidi, kutafuta zaidi, na kuwatunza wanaume wao pamoja na mali wanazozitafuta
View attachment 2191526
Kwa vijana wetu wa kiume wajue tuu kwamba kazi ndio maisha na heshma ya mwanaume
Kwa vijana wetu wa kike watambue mahusiano mazuri na ndoa yanajengwa na uwezo wa kubeba majukumu sio uwezo wa kula bata
Kwa wanawake wenye bahati ya kupata wanaume hawa watafutaji; waombeeni na watunzeni, ukimtesa au usipomuelewa huyo ataishia kupata msongo wa mawazo na kufa halafu kupata mwingine sahau!
Pasaka njema
Ndio baby wako?Mwanaume wa hivyo yupo mmoja na anapatikana huko ntwara nanjirinji